Recent content by mandy2013

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi JWTZ kuwa na askari Takribani 200 tu Mpakani ni masihara

    Ulinzi Ni mipango na si uwingi wa idadi ya askari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri?

    Pole mtoa mada kwa majibu ambayo hukuyategemea, ila jamani c lazima kuchangia kila mada, waweza soma then ukapotezea ukahamia jukwaa lingine tu. Kuhusu body spry mimi huwa situmii, natumia pafyumu inaitwa bondage ni nzuri na inakaa kwa nguo kwa mda mrefu tu! Ahsante
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Serengeti boys ni under 17?

    Mtoa post thibitisha kama hawa vijana wetu ni above 17, maana naona hutaki kuamini huku ukiwa huna uthibitisho wowote! Hawa watoto huwa wanafanyiwa vipimo kujua umri wao kabla ya mashindano. Najua wabongo tuna sifa ya kuvikosoa vya kwetu zaidi kuliko vya kigeni. Zinakujaga timu za mataifa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania King’amuzi cha Azam chaondoa Chaneli za FTA na kubakiza TBC na ZBC tu

    Mimi nadhani ni bora Azam TV management wangejitokeza kutueleza nn kinaendelea maana walianzia kwenye taarifa yao ya habari. Baada ya kutupatia taarifa ndipo kila mtu anaweza changia kupitia taarifa hiyo. Pia Azam watambue kuwa customers wana haki ya kujua nn kinaendelea!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msitufanye watoto

    Ni kweli akijifungua atapewa 3 days za kushughulikia familia, kiukweli sababu zao ziko too weak! Mm hazijaniingia akilini kabisa, bora sababu ya majeruhi inatubidi tuamini tu! Mm nahisi kuna tatizo katika yanga, pia makocha waliopo nao siwaelewi hata kidogo. Timu inazuia mda wote hakuna mbinu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye Wachezaji hawa wafuatao wa Yanga SC waonyeni wasikubali kubebeshwa ' Hirizi ' mtawakosa

    Huu mpira wa bongo hautafika popote kwa hizo imani zenu za kishirikina kila kukicha!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ACACIA /BARRICK wanatulipa hela yetu lini!?

    Mmmh mm cjui
  8. M

    JamiiForums Tanzania Condom ni muhimu mno Itumike.!

    Mmmmh
  9. M

    JamiiForums Tanzania Movie ambayo ukiangalia na msichana lazima akutunuku bila kupenda

    Mimi niliangalia commando kipensi nikamgegeda demu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa Alikuwa anatoa Movie 40 kwa buku3. Kama Bado yupo anicheki

    Hili jukwaa bwana!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika shinyanga na kwaya ya AIC ni ujinga tu

    ???????????
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nae analalamika kwanini usichukue hatua juu ya wauza unga? Inamaana kwani hamuwajui?

    Inauma sana tena kama una ndugu ni muathirika, mm kaka yangu alikuwa muathirika (R.I.P my lovely brother). Hatuoni kabisa nia ya dhati ya kudhibiti biashara hii haramu, serikali ina kila kitu, ina majeshi, ina miliki viwanja vya ndege na mipaka yote inalindwa. Vp madawa yaingie? Na yanayokamatwa...
Back
Top Bottom