ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,754
- 7,307
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamlaje Binadam mwenzako na manailoni, kwan amekua kibudu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamlaje Binadam mwenzako na manailoni, kwan amekua kibudu?
Tulia na ulienae ndio dawa condom inazuia maambukizi asilimia 70 tu sasa jiulize hizo 30 unamwachia nani?Usiwe Mvivu wa Kufikiria
Narudia tena tulia na ulienae ukijifanya wewe ndio mwanaume mashine muda si mrefu utakuwa mzigo kwa taifa badala ya nguvu ya taifacondom na peku ipi bora
Afu unajiepusha na ngono ama unafanya?Mm kusema kweli siwezi na sijawahi kutumia na sitotumia.
Naamini mungu ataendelea kunilinda
Nafanya kwa hisani ya watu wa marekani.Afu unajiepusha na ngono ama unafanya?
Asante mkuu kwa darasa la bureKatika pitapita zangu nimekuta watu wengi waki discourage Matumizi ya condom yaani they say its useless na wala haisaidii katika protection ya Maradhi.
Wanasema zingine Huja hata zikiwa na viini vya Magonjwa Vimepandikizwa Mle, basi wakaenda mbali zaidi wakidai condom haizuii Ukimwi yaani VVU.
Nilijikuta nawaonea Huruma sana Maana Nikikumbuka Miaka Kadhaa ilopita Niliwahi kupita na wanawake kama wa 3 ambao baadae nilijua kwamba ni confirmed positive bahati nzuri nilitumia kinga na kila nikikumbuka sichukulii Picha Ningecheza Peku yaani ungekuta ndo habari yangu imeisha.
MY TAKE: Ndugu zangu Japo Hatujawahi kuonana ila Naamini Ninyi ni binadamu kama wengine, Jamani chonde chonde tumieni condom inasaidia sana, msipotoshwe na nyuzi za hapa JF zinazodiscourage matumizi ya Kinga...wengine wameenda Mbali wakidai hazisaidii.
Kaka yenu nawashauri tenaa UKIMWI upo na Condom inazuia, Tafadhali tumieni.
Never Sex without Condom na MwanamkeMwanaume ambae Hujui Status yake.
Wakusikia na Asikie!
ukianza ni ngumu kuacha, bora tu tujilindeShauri watu waache uzinzi...
Fanya uzembe useme Mungu atakulinda, Huyo Mungu amekosa vya kulinda hadi aje akulindie usipate ukimwi kwa zinaa zakoMm kusema kweli siwezi na sijawahi kutumia na sitotumia.
Naamini mungu ataendelea kunilinda
Message Sent
Fanya uzembe useme Mungu atakulinda, Huyo Mungu amekosa vya kulinda hadi aje akulindie usipate ukimwi kwa zinaa zako