Mim nakuomba hyo hela uje ujenge vyumba viwili vya kupanga vya futi kumi kwenye kiwanja changu ili uingize hela yako irudi haraka.
Sent from my SM-J106H using JamiiForums mobile app
Mimi niwaambie ukweli chanzo cha kuanza kutopokea simu mpaka leo
1.mizinga kwa ndugu
2.mke wa mtu
3.kumlinda boss wangu ambae mtu yeyote hawezi kumpata bila mimi..
Hivo mwenye shida na mimi lazma contact isome jina kinyume na hapo lawama au matusi huwa havinikasirishi ukiyaanzsha.
4.mimi bado...
Wewe dada kwa maelezo yako uliyotueleza humu mbona kama nakufahamu kutokana na huo wasifu wa mumeo na wasifu wako, changamoto hiyo hadi mwandiko wako kama nimeukariri hivi,si kwa ubaya ila ni kwa kukuheshimu tu niruhusu nije pm nijue kama ndo au wewe au nimekufananisha na wala siji kukutongoza...
Wanawake yani hata umiliki dunia nzima lazima atatafuta kasoro kusudi tu aonekane yeye anaonewa hawajawahi kuridhika hawa...mimi nawaitaga wanawake ni chama cha upinzani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.