watu makini hawapimwi kwa mwonekano wa mavazi sura au vyama wanavyotoka,. mustakabali wa Taifa pia haupimwi kwa rasilimali asili zilizopo. vipimo hivi huweza toa matokeo yasiyo sahihi. nionavyo mimi umakini wa watu na taifa huweza kupimwa kwa namna watu wanavyojadiliana na mipango, yao. ndio...
Kwa nchi masikini,kila jambo linalofanywa na mgeni ni sawa, hata kama hakuna uchambuzi wa kina. Ni katika nchi masikini tu ambapo watawala wanawapuuza wasomi wa ndani, na pia huwafanya wananchi wawadharau wasomi wa nchi zao. kwa kawaida watu wenye njaa hufikiria kula kwa wakati huo, wasio na...
Kwa nchi masikini,kila jambo linalofanywa na mgeni ni sawa, hata kama hakuna uchambuzi wa kina. Ni katika nchi hizi tu ambapo watawala wanawapuuza wasomi wa ndani, na pia huwafanya wananchi wawadharau wasomi wa nchi zao. kwa kawaida watu wenye njaa hufikiria kula kwa wakati huo, wasio na njaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.