Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Lowasa akigombea urais kwa mara ya kwanza nitapanga foleni kupiga kura. Hata kama iwe ndefu kuanzia mbezi hadi ubungo.
hata akishindana na babako !?
Lowasa akigombea urais kwa mara ya kwanza nitapanga foleni kupiga kura. Hata kama iwe ndefu kuanzia mbezi hadi ubungo.
Lowasa hana kesi ya kujibu mahali popote pale mafisadi wote kesi ziko mahakamani. Mi naamini Lowasa ni kiongozi shupavu na asiye yumbishwa. Akigombea urais 2015 nitampigia kura bila kinyongo
kubali kataa Lowasa ndo rais 2015.
sasa lowasa na yule padri wenu mwiz wa wake za watu dr Slaa nani kaoza??