Recent content by mandieta19

  1. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Nashauri CCM iteua mwandishi kutoka kila chombo wa kutembea naye

    Inatumika nguvu kubwa sana kuwaminisha watu kuwa hiki chama kinakubalika. Jana Abood alitoa mabasi yake kuwapeleka watu kwenye mkutano. Huku mtaan kwetu walitoka wachache sana. Wengi ni wale mwanaccm na wale buku 5000. Kwahiyo walichokionesha ITV ndio ukweli wenyewe Wale akina mama ambao miaka...
  2. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

    Binafsi mambo ya picha yamenishinda sana.
  3. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Waliosaini Maadili ya Uchaguzi waanza kulia kilio cha Mayowe

    Mapema kabisa CCM wanafunga goli la mkono na refa anaita kati.
  4. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Hata hivyo, hatutaogopa!

    Hatuyafuati matatizo ila matatizo yanatufuata sisi.
  5. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Yani papa ambae ni kiongozi mkuu wa kanisa katoliki dunian, alifute kanisa katoliki Tanzania kwa maslahi ya serikali ya Tanzania. Huu ushauri ni wakipumbavu sana.
  6. mandieta19

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

    Masikini hana kiapo.. usije kumwamini mtu mwenye njaa.
  7. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    Jamaa anaongea mambo makubwa sana ila wanaokuja mbele kumjibu ni vilaza na machawa. Mtu ambae alikuwa kwenye mfumo anapotoka nje na kutoa shutuma nzito kama zile hatakiwi kujibiwa na vilaza wa bongo movie akina mafufu.
  8. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

    Hii timu utoto mwingi sana
  9. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Hivi Mzize ni wa kucheza nje kweli

    Tukiweka ushabiki pembeni jamaa ni wakawaida tu, Hana hiyo thamani ya bil 2.
  10. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Kama Gwajima na Polepole wana hoja, wajitoe CCM

    CCM itangamizwa na ccm wenyewe... Hakuna kutoka mtu, hii vita inatakiwa ipiganwe ndani huko huko..
  11. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Another bomb shell loading.... Gwajima is about to push the button!

    Kuna watu vifua vyao haviwez kukaa na mambo mazito.... Ni zamu Sasa ya Gwaji boy kutueleza uovu wa hawa watu.
  12. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wajuaji wawili wa Afrika Mashariki watema Bungo la CAF, ila kwa Sisi Waganda (Uganda Cranes) kesho ni mwendo mdundo hadi Fainali na Ubingwa

    Ni kweli tumefungwa goli la kizembe sana. Kipa ni kama vile alikuwa akiusubiri mpira ufike mikonon mwake, na kuna beki alikuwa amesimama anautazama mpira.
  13. mandieta19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

    Wanasema mkubwa akivuliwa nguo huchutama... Hakuna kitu mwanaume anapenda akikosewa kama kuombwa msamaha.
  14. mandieta19

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla kachanganyikiwa?

    Binadamu tunapitia changamoto nyingi sana.
Back
Top Bottom