mandieta19
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 342
- 890
Kuna watu vifua vyao haviwez kukaa na mambo mazito.... Ni zamu Sasa ya Gwaji boy kutueleza uovu wa hawa watu.
nia ovu kwa nchi,nia ovu kwa watu kwa kujifanya ni mtu wa dini au mtu wa siasa,kumbe ni watu waovuNia OVU kwa nani sasa!
Mmeshamsahau lissu
Chakandumuz kweli hamnazo
Kuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana"
Kimsingi makanisa yasingefunguliwa kwa mkwara kwakuwa tayari kesi iko mahakamani na kuna utaratibu wa kisheria wa kufuta ama kuondoa, na kwakuwa ni kesi yenye vinasaba vya kisiasa mchakato wake unaweza kujaa mizengwe
Kuna mambo yanaweza kufanyika kimyakimya nyuma ya pazia na hilo jambo likaisha juu kwa ju! Ama pastor akabaki na msimamo wake na kuwa janga lingine kwa ccm baada ya lile la polepole
Muda ndio utasema kama atafuata nyayo za Polepole ama atabadili gear angani
Bishop amewashika pabaya watu wa mboga mbogaKuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana"
Kimsingi makanisa yasingefunguliwa kwa mkwara kwakuwa tayari kesi iko mahakamani na kuna utaratibu wa kisheria wa kufuta ama kuondoa, na kwakuwa ni kesi yenye vinasaba vya kisiasa mchakato wake unaweza kujaa mizengwe
Kuna mambo yanaweza kufanyika kimyakimya nyuma ya pazia na hilo jambo likaisha juu kwa ju! Ama pastor akabaki na msimamo wake na kuwa janga lingine kwa ccm baada ya lile la polepole
Muda ndio utasema kama atafuata nyayo za Polepole ama atabadili gear angani
Bishop amewashika pabaya watu wa chama cha mboga mboga na chura kiziwi kizimukaziKuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana"
Kimsingi makanisa yasingefunguliwa kwa mkwara kwakuwa tayari kesi iko mahakamani na kuna utaratibu wa kisheria wa kufuta ama kuondoa, na kwakuwa ni kesi yenye vinasaba vya kisiasa mchakato wake unaweza kujaa mizengwe
Kuna mambo yanaweza kufanyika kimyakimya nyuma ya pazia na hilo jambo likaisha juu kwa ju! Ama pastor akabaki na msimamo wake na kuwa janga lingine kwa ccm baada ya lile la polepole
Muda ndio utasema kama atafuata nyayo za Polepole ama atabadili gear angani
Nikiangalia hii picha ya Gwajima nawaza kuna watu hata kama hawapendi kuwa maarufu, nature yenyewe inawalazimishia umashuhuri.View attachment 3449977Zimebaki siku2
Polepole alisema NIDA+INEC+CCM zimeungwa kwa liwaya (mifumo inasomana)!!!Hayo siyo yangu lakini unaujua mfumo wa ccm? Una uhakika unasomana na nida? Na ukisomana unaathiri vipi kura? Je kuna haja kadı ya Kuwa na voters registration card kama nida can do the job?
Msiwe wepesi wa kujazwa alkasusi na mtu aliyeshiriki kuangamiza freedom of speech
Kama anauliza vile, Code zake ngumu, vyema kusikiliza kila neno. Ila balozi hana mambo mengi, yeye ni kiongozi wa kaya 10 tu, anazitembelea zote uso kwa uso. @hpolepole @bishopgwajima
View: https://www.threads.com/@ndavilimrb/post/DNrtd05UCDD?xmt=AQF0VWcJ23fT1U5Lv8LX-4AgJu-lCvcscs3Y386i_MKW8A&slof=1
Kuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana"
Kimsingi makanisa yasingefunguliwa kwa mkwara kwakuwa tayari kesi iko mahakamani na kuna utaratibu wa kisheria wa kufuta ama kuondoa, na kwakuwa ni kesi yenye vinasaba vya kisiasa mchakato wake unaweza kujaa mizengwe
Kuna mambo yanaweza kufanyika kimyakimya nyuma ya pazia na hilo jambo likaisha juu kwa ju! Ama pastor akabaki na msimamo wake na kuwa janga lingine kwa ccm baada ya lile la polepole
Muda ndio utasema kama atafuata nyayo za Polepole ama atabadili gear angani
Nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajimaaaaaa. Gwajima mwaga mboga, Gwajima mwaga mbogaasa, Gwajima mwaga mbogaaaa
Gwajima hawezi badiri gearKuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana"
Kimsingi makanisa yasingefunguliwa kwa mkwara kwakuwa tayari kesi iko mahakamani na kuna utaratibu wa kisheria wa kufuta ama kuondoa, na kwakuwa ni kesi yenye vinasaba vya kisiasa mchakato wake unaweza kujaa mizengwe
Kuna mambo yanaweza kufanyika kimyakimya nyuma ya pazia na hilo jambo likaisha juu kwa ju! Ama pastor akabaki na msimamo wake na kuwa janga lingine kwa ccm baada ya lile la polepole
Muda ndio utasema kama atafuata nyayo za Polepole ama atabadili gear angani
Polepole kashaongea Gwajima aongee nn tena 🤷Yeye Gwajiboy atujulishe aliyehusika kumuua Mwendazake.