Kama Gwajima na Polepole wana hoja, wajitoe CCM

Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.

Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.

Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Hauna akili master
 
Mchezo wanaocheza Gwajima na Polepole ni sawa
Ukiwa mtulivu utaona
Juzi Gwajima kaanza kuelezea uhusiano wa katoliki na madhebu mengine hii ni dhahiri nyuma ya kelele hizi ni udini
Tusifike huko watanzania na tusishawishiane kumkubali au kukataa mtu sababu ya dini yake
Kama ni ukatili katika medani za kisiasa kuna kiongozi alikuwa mkatili wa wazi kama JPM? Ole Sabaya alilelewa na kulindwa wakati gani?
Tuwe na utulivu na tusiruhusu hisia zitutawale
 
CCM ni Mali ya umma!! Ilindwe na isemwe pia
 
Kujitoa ni udhaifu, harafu Chama kibaki na wahuni tu .lazima ukipambanie Chama ndani na nje
 
Mchezo wanaocheza Gwajima na Polepole ni sawa
Ukiwa mtulivu utaona
Juzi Gwajima kaanza kuelezea uhusiano wa katoliki na madhebu mengine hii ni dhahiri nyuma ya kelele hizi ni udini
Tusifike huko watanzania na tusishawishiane kumkubali au kukataa mtu sababu ya dini yake
Kama ni ukatili katika medani za kisiasa kuna kiongozi alikuwa mkatili wa wazi kama JPM? Ole Sabaya alilelewa na kulindwa wakati gani?
Tuwe na utulivu na tusiruhusu hisia zitutawale

Polepole hayupo huko, harafu kumhusisha MTU anayesema ukweli na mambo ya kidini eti Kwa sababu wakati wafulani hakusema huo ni upumbavu, hoja anayosema kama yapo au la
Je uongozi wakiislamu kufungia makanisa utasemaje; U Umeona Wakristo wanahangaika kama unavyotaka wewe kutuminisha
 
Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.

Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.

Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Kuna gamba limetekwa huku, naona CCM akili zinawarudia
IMG-20250823-WA0001.jpg
 
Kwa hiyo, kichaa ni wewe au mimi mwanangu? Yaani, wewe ni wa kunikosea heshima hivi Pasco! Mungu anakuona. Usipoomba msamaha, kitakachokukuta usinilaumu bali ujilaumu. Utanitukanaje hata bila kufafanua lau nikajifunza kitu kwako? Ningekuwa sina adabu kama wewe ningekuita mkumbaff mkubwa kabisa.
Samahani Sorry!.
P
 
CCM itangamizwa na ccm wenyewe... Hakuna kutoka mtu, hii vita inatakiwa ipiganwe ndani huko huko..
 
Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.

Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.

Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Kujitoa au kutokujitoa CCM hakutusaidii sisi. Acha waendeleo kuwa humo humo naamini Bado wana mirija ya kuwawezesha kunyaka madudu mengi ambayo mwisho wa siku wanayasanua kwa umma.

Wakijitoa, wanyetishaji ndani ya CCM nao watasita kumpa umbea, we huoni?
 
Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.

Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.

Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Yaani kuwa humo ni bora sana kuliko kutoka sema tu wapumvavu na wajinga ni sisi na hasa vyombo vyetu vya usalalama vimelala usingizi wa pono, wako tayari kuhangaika kumtafuta mwenye comment hii wamuue ili kuyalinda majizi ya mali za nchi
 
Polepole alianza kwa kumuomba Mama aachane na wahuni mara sijui utaratibu haukufuatwa kumpata mgombea wa chama mara sijui chama changu kirekebishe mambo, mara sijui nalinda kiapo mara RA simu moja kapewa mgodi, mara CCM wanaiba kura.

Ukiangalia katikati ya mistari utagundua ni makundi yale yale yanayopigana ndani ya CCM ambapo moja limezidiwa nguvu na halina ujanja wala maarifa sasa linajigeuza taratibu kupata ushawishi nje ya CCM ili kucompromise na mifumo lipate namna yakurudi kwenye game.

Safarini Khartoum Sudani
 
Back
Top Bottom