Idda Mushi atalipa gharama za hujumaNyie wajuba chawa pro max wa sgr mnachekesha sana! Kampeni zenyewe hazina ushindani zimepoa halafu mnang'ang'aniza ziwe na amshaamsha na vibe kubwa, kama vipi chadema kiboko yenu ingeshiriki uchaguzi huu madai haya ya kipuuzi yangeonekana ya maana kwa kuwa kuna upinzani haswa kwenye kampeni. Sasa ccm haina upinzani hiyo hujuma inatoka wapi mjuba?
unadai kahujumu, kahujumu vipi wakati kampeni ndio kwanza zinaanza na hazina watu wengi? Halafu idda ni chadema au chaumma mjuba? Unachanganya mamboIdda Mushi atalipa gharama za hujuma
jibu mada yangu ya uzi wako kusema mdude kaachana na siasa wewe tobo la mamayako mzazi aliyekuzaaHaya mambo ya na hujuma kila mahali. Jana nadhani yule ni Idda Mushi, mwanachadema maarufu Morogoro, ndiye alipewa kazi ya kuripoti ziara ya kampeni. Imagine taarifa ya mgombea wa CCM inatolewa na kada wa chadema! Naongelea taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku
Kwa kushirikiana na Mhariri wa ITV walikuwa wanaonyesha sehemu ambazo watu hawakukaa kwa sababu ya jua kali, mwisho kabisa wa uwanja ili kuaminisha kwamba watu hawakuwa wengi.
Nashauri team ya kampeni iteue mtu ambaye atakuwa attached permanently kwenye ziara kuachana na mapandikizi. Kila chombo CCM iteue wa kutembea naye
najua hivyo, kwani idda hakuhama chama?Chauma ni Devota Minja, usitumie kichwa kubebea mizigo, kitumie kufikiri
Tume anamiliki yeye kwanini anapata tabu zote kudanganya watanzania
Kinembe si kuna Tbccm ,Uhuru media ,Chanel Ten na star TV ambao ni 👇Haya mambo ya na hujuma kila mahali. Jana nadhani yule ni Idda Mushi, ndiye alipewa kazi ya kuripoti ziara ya kampeni.! Naongelea taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku
Kwa kushirikiana na Mhariri wa ITV walikuwa wanaonyesha sehemu ambazo watu hawakukaa kwa sababu ya jua kali, mwisho kabisa wa uwanja ili kuaminisha kwamba watu hawakuwa wengi.
Nashauri team ya kampeni iteue mtu ambaye atakuwa attached permanently kwenye ziara kuachana na mapandikizi. Kila chombo CCM iteue wa kutembea naye
ni kweli kichwa changu huwa nakitumia kubebea mizigo tena mizigo mizito but still nafikiri vemaChauma ni Devota Minja, usitumie kichwa kubebea mizigo, kitumie kufikiri
Una ushahidi wa huu uongo wako?Tume anamiliki yeye kwanini anapata tabu zote kudanganya watanzania
Mwenyekiti, mkurugenzi na makimishna wa tano wa tume ya uchaguzi wanateuliwa na nani? Tuanzie hapoUna ushahidi wa huu uongo wako?
Nimeuliza ushahidi mkuu, sio maswaliMwenyekiti, mkurugenzi na makimishna wa tano wa tume ya uchaguzi wanateuliwa na nani? Tuanzie hapo
Ramadhan Kailima mkurugenzi wa tume ya uchaguzi kateuliwa na SamiaNimeuliza ushahidi mkuu, sio maswali
And your point is???Ramadhan Kailima mkurugenzi wa tume ya uchaguzi kateuliwa na Samia
Pia mwenyekiti wa tume na makamishna watano wa tume wateuliwa na Samia