Recent content by Mandesy

  1. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Nini kimekuza deni la Taifa kwa trilioni 20 kutoka 2015 hadi 2019?

    hizo ni pesa zetu
  2. Mandesy

    JamiiForums Tanzania TRA wanajipa sifa wasizosatahili

    Nimeona taarifa ya TRA kuhusu mapato ya mwezi Septemba. Kwa nasibu, Mkurugenzi wa TRA amesema wamekusanya shilingi trilioni 1.7, kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu kuanzishwa kwa mamlaka hayo mwaka 1995. Kwanza.. wakati TRA inaanzishwa, uchumi haukuwa na ukubwa wa kukusanya fedha kama...
  3. Mandesy

    JamiiForums Tanzania kwa mtaji huu ndege zetu ziende Mpanda, Kigoma, Lindo, Mtwara, Mwanza, Sumbawanga nk

    Dalili zinaonyesha kwamba hali sio hali kwenye mali zetu hasa ndege zinazofanya safari nje ya nchi Tjue kwamba tuna kesi zifuatazo kwenye mahakama za usuruhishi wa biashara.. Symbion Power Aggreko Power IPTL Vhalambhia Family Acacia FBME Bank Starling International—hawa wamelipwa kimya kimya...
  4. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Hivi leo ndio SADC imeanzishwa

    Mkutano wa wakuu wa nchi jumuiya ya SADC umemalizika leo jijini Dar es Salaam. Pamoja na mahudhurio mazuri ya wageni, nimeshtushwa na baadhi ya kauli za watanzania ikiwemo msemaji mkuu wa serikali Bw Abbas ambaye anajinasibu kuwa uenyekiti wa rais Magufuli ni zaidi ya mzunguko wa kawaida...
  5. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Majukumu tunayowapa wazaliwa wa kwanza ni mazito

    sisi first born wetu ana mawe.. katusomesha 12 na anasaidia ndugu 20 na hazeeki
  6. Mandesy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania It's seriously issue

    huna hela wewe umefilisika. Chezea Mzee Meko.. ukute wewe ndo wale waliokuwa wanashinda corridors za TRA long room pale Station
  7. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Patrick Ngowi ni nini kimemsibu mpaka kufanya biashara haramu?

    huyu ni Patrice Lumumba
  8. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

    fangaz tupu
  9. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa laingiza Sh40,000

    DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE Monday, 29ᵗʰ July 2019 DSE recorded a total turnover of TZS 0.04 mln from 206 shares traded in 3 deals. On Government Bonds Board, a 10-year bond with a coupon rate of 11.44% and a face value of TZS 0.1290 bln was traded at 89.7998% in 1 deal(s) while 15-year bond...
  10. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa laingiza Sh40,000

    ripoti ipo
  11. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa laingiza Sh40,000

    Katika hali isiyo ya kawaida, soko la hisa la Dar es Salaam limeanza kwa mdororo mkubwa wiki hii. Ripoti zinaonyesha kwamba ni sh40,000 ndizo ziliripotiwa kupatikana leo kutokana na mauzo ya hisa. Hiki ni kiwango cha chini kabisa kuripotiwa na soko la hisa miaka 21 tangu kuanzishwa kwake. Hatua...
  12. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya magazeti ya Business Times yazama rasmi

    Kampuni ya uchapishaji wa magazeti ya Business Times ambayo hadi hivi majuzi ilikuwa ikimiliki magazeti matatu ya Business Times, Majira na Spoti Starehe imetangaza rasmi kufunga biashara. Kampuni hiyo ambayo ilianza kodorora baada ya familia kuamua kuingilia biashara na kujiajili wao kwa wao...
  13. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashuhudia makabidhiano ya Dhahabu Kg 35 iliyokamatwa nchini Kenya

    NA SISI TUKIKAMATA DHAHABU YA KENYA WATATUPA
  14. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Nauona mwisho wa CCM

    Tukiwa bado tunatafakari mabadiliko ya mara kwa mara ya baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, hali inaonekana sio shwali ndani ya chama hicho. Nasema hali sio shwari, kwani kila mtu amekuwa na hofu kubwa, hasa wale wadadisi ndani ya chama. Inavyoonekana kwamba sasa hivi JPM ameamua...
Back
Top Bottom