It's seriously issue

It's seriously issue

July Ernest

Member
Joined
Aug 6, 2019
Posts
25
Reaction score
12
excuse me wakuu,
Nina wakati mgumu coz huwa ninatongozwa na wasichana mpaka sasa wanne hivi kwa nyakati tofauti hao ndi nimekua nao kwenye mahusiano, ila sasa ninaowataka mimi siwapati huwa nikiwaambia ukweli wananiweka pending et tutakufikiria. na mim nikiambiwa hivyo huwa nakata tamaa simfatilii tena. asa sielewi nakosea wapi au nikipi sijafanya ama niwapi unahisi nakosea. na hao wanaonitongoza huwa sidumu nao wananileteaga zalau na majibu ya ovyo.
 
Acha uzembe weka picha yako na wanaokutongoza
 
Wanawake hawatongozwi siku hizi. Mpigie simu tuma vi text vya hapa na pale mtoe out mbili tatu mnunulie pizza mara burger wadada wanapenda kula kula. Muonyeshe unamjali... mwanaume ni effort. Baada ya mda mtajikuta mpo kwenye mahusiano.

Wanawake wana aibu sana huwezi ukamwambia "nakutaka" na yeye akakijibu "nakutaka pia"
 
Duh kwakweli siwezi kufanya biashara yenye hasara. kuna axkal kenya kamxomexha mtoto wakike chuo na kumpa mama yake hela ya matumizi mwisho wasiku mtoto wakike ana dgree anamwambia jamaa huna hadh ya kuwa namim tuachane kila mtu afanye mambo yake nimepata bwana mwingn ni meneja wa sheli kadhaa hapa nairobi. jamaa akamwita home wayaongee yaishe dame alipofika tu karamba risasi 47. yaani ni tundulisu pekee ndio angeweza kusurvive.
 
Kumbe bado unatumia X badala ya S.... you have a long way to go
Duh kwakweli siwezi kufanya biashara yenye hasara. kuna axkal kenya kamxomexha mtoto wakike chuo na kumpa mama yake hela ya matumizi mwisho wasiku mtoto wakike ana dgree anamwambia jamaa huna hadh ya kuwa namim tuachane kila mtu afanye mambo yake nimepata bwana mwingn ni meneja wa sheli kadhaa hapa nairobi. jamaa akamwita home wayaongee yaishe dame alipofika tu karamba risasi 47. yaani ni tundulisu pekee ndio angeweza kusurvive.
 
Mpe ushauri wa maana huyo mdogo wako kabla hajaharibikiwa, mjini hapa!
Mbinu zangu za kuendesha gari ni za left hand nasikia hazitumiki tena saivi.
Hivi hamna hata kiben 10 kilichojaribu kukutupiamo ndoano, umpunguzie angalau tumbinu tuwili?
 
huna hela wewe umefilisika. Chezea Mzee Meko.. ukute wewe ndo wale waliokuwa wanashinda corridors za TRA long room pale Station
 
Back
Top Bottom