Hivi leo ndio SADC imeanzishwa

Hivi leo ndio SADC imeanzishwa

Mandesy

Senior Member
Joined
Mar 22, 2018
Posts
115
Reaction score
125
Mkutano wa wakuu wa nchi jumuiya ya SADC umemalizika leo jijini Dar es Salaam. Pamoja na mahudhurio mazuri ya wageni, nimeshtushwa na baadhi ya kauli za watanzania ikiwemo msemaji mkuu wa serikali Bw Abbas ambaye anajinasibu kuwa uenyekiti wa rais Magufuli ni zaidi ya mzunguko wa kawaida. Akijinasibu kwenye televisheni, Ndugu Abbas alisema kwasababu JPM ni msomi, amefanikiwa kuchochea maendeleo, anachukia rushwa nk.

Kwa maoni yangu, kauli za Abbas na Mataga zineonyesha kwamba as if leo ndio tumepata uhuru na leo ndio mara ya kwanza Tanzania kupata uenyekiti tangu tupate uhuru..

Yajayo yanafurahisha
 
Ajaweka kauli katika wakati uliosahihi , angesema atachochea maendeleo katk nchi waanchama sdc
 
"Msemaji mkuu wa serikali Bw Abbas"

Cheo chake ni msemji mkuu wa Serikali kwa hiyo, moja ya majukumu yake ni kuisemea Serikali, kwa kazi hyo ni mojawapo ya kutimiza majukumu yake. Je kosa lake hpo lipo wapi?.
 
Hujui kama yuko group la WhatsApp na Haji Manara mkuu?. Hongera JPM
 
Remember to paint your shoes in good colors no matter what type of road you will pass. Whether its a dust or muddy road, our shoes must be painted neatly!
 
Back
Top Bottom