Recent content by Mandegele Masenya

  1. Mandegele Masenya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

    Unataka kusemaje sasa kama SIMBA haitawafunga Yanga? Si ni mpira tu. Utopolo wewe!!
  2. Mandegele Masenya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tuko hapa kwa sasa!!
  3. Mandegele Masenya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mwache ale mema ya nchi
  4. Mandegele Masenya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti anataka mahari milioni 1.5

    ENDELEA KUDANGA MKUU. MUOAJI SERIOUS HAWEZI KUKOSA 1.5M
  5. Mandegele Masenya

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta natoka machozi

    Oyaaa, mwanangu utakuwa uliacha alama ya kipekee sana. Utakumbukwa sana na karibu tena wakati mwingine👏👏
  6. Mandegele Masenya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuachwa kunauma vibaya

    Kwa akili timilifu, kuachwa na kuacha kwenye mahusiano ni jambo la kawaida. Kwa ufupi sana, ukiachwa achika. Usilielie kama mbwa koko kakosa mtaji wa mzoga!!
  7. Mandegele Masenya

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    Daaaah Mungu atunusuru na balaa hili la kidunia..R.I.P
  8. Mandegele Masenya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini Faida ya kuoa au kuolewa na kabila lako?

    Kusema ukweli kabla sijaenda kwenye hoja ya msingi napenda niseme haya:KUOA MWANAMKE WA KABILA LAKO NI RAHA SANA..Kuna mengi mazuri utaweza kuyafanya kwa pamoja na mwenza wako hasa kuhusu jamii na mahusiano yake. Mfano ndugu zako watakuwa hawana kipingamizi upande wa mawasiliano pindi...
  9. Mandegele Masenya

    JamiiForums Tanzania RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe

    PAUL ALBERT BASHITE..KAULI ZAKO KAKA YANGU KWA KWELI MUNGU ATAKULIPA..UONGOZI HAUPO HIVYO. UTALIPWA SIKU MOJA. UTALIPWA NA MWENYEZI MUNGU.
  10. Mandegele Masenya

    JamiiForums Tanzania Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa, inatia huruma

    Unaongea bila kutumia kichwa bwege wewe.. Hili ni janga kama majanga mengine..
  11. Mandegele Masenya

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

    Unaongea kutokea tundu gani kwenye mwili wako.. Illogicall#Nosense
  12. Mandegele Masenya

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
  13. Mandegele Masenya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Daaah ndugu yangu unasaidiwa.. Huyo mwanamke sio poa wala nini..Mmeshaoana ama mnaishi kama wachumba??
Back
Top Bottom