RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

1582469859_1582469858-picsay.jpeg
 
nimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea
😂😂😂😂yaani daaaah
 
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini. Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.

Wageni wanataraji kunywa, kula, kustarehe na kulala hapa kwetu. Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Maskini!
 
Back
Top Bottom