Nakushauri hiyo passion uliyo nayo uihamishie kwenye shughuli zako binafsi kama vile biashara nk utafika mbali sana na utakuja kunishukuru. Vinginevyo umekwisha.Ndio Mimi
Nakushauri hiyo passion uliyo nayo uihamishie kwenye shughuli zako binafsi kama vile biashara nk utafika mbali sana na utakuja kunishukuru. Vinginevyo umekwisha.i get it
Mwaka wa kwanza au wa pili UDSM?Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.
Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.
Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"
Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Hii ni ya mwisho, yaani nipo mwaka wa pili hivi sasa, November naingia wa tatu.
Hongera mkuu una haki ya kutoa machozi. Maana ungekaa hapo miezi mingine kadhaa wangekununulia laptopNdio Mimi
Bila shaka na wewe ni mwalimu😆Huwezi kutoka vyuo vingine zaidi ya UDSM. Walimu wenye passion wapo UDSM.
Kweli mkuu hayo niliyo base hayakuhitaji kiingereza, yalihitaji fact....Unaonekana tu kingereza hukukipenda mkuu
😂😂😂Hongera mkuu una haki ya kutoa machozi. Maana ungekaa hapo miezi mingine kadhaa wangekununulia laptop
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka Hadi watu wamenishangaaNyie ndo mnaofanya serikali ikiona nyuzi kama hizi inahamasisha watu wajitolee
Hakuna mwanaume hapa 😆😆Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.
Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.
Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"
Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Ww ni ME au KE?Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.