Recent content by MandawaNaManenge

  1. M

    Kunyonyesha mtoto

    I enjoyed ku breastfeed aisee. Na hivi mtoto mwenyewe wa uzeeni kidogo... amenyonya hadi tunafanya debate akiwa nyonyoni. Yaani hadi ana miaka miwili na nusu... Siku aliponiboa ( with a light touch and chuckle) hadi nikasema sasa basi, ni aliponiuliza kama nimeosha nyonyo vizuri na maji na eti...
  2. M

    Rest in Peace Comedian Joan

    Tutakumiss jembe Joan. Ulikuwa kielelezo cha furaha na kujipenda hata pale umri (namba za kuakisi mvua ngapi mtu kazishuhudia duniani) unapokuwa umesonga. Kwa kiasi kikubwa ulini inspire. Pumzika mama. Kina Miss Osbourne , Giulliana na mkaka najua watakumiss zaidi maana kwa pamoja mlifanya timu...
  3. M

    Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

    Yaani ningekuwa maishani nimepata mume wa hivi ! Mbona ningepasuka sijui? maana na dhiki zangu hizi zimejaa Fuso zima na nusu, bado niko na afya au sijui uchinenee! yaani mume ananisomeshea ndugu zangu? ananunua chakula? kwanza naona nitakuwa najifinya kwanza kucheki kama nikweli yamenitokea...
  4. M

    Report ya mwana Dar es Salaam

    I love it .... magnificent lyrics na sauti pia ni njema
  5. M

    Mwanaume akiwa single hamna anaemtaka akiwa na mtu kila mtu anamtaka, haswaaa huyo mtu akikuzidi !

    Uko sawa Lara jamani. I just like your reasoning, defence , sense of humour and the rich vocabularly. Sikuwahi kufikiri hii kabisa lakini kuna ukweli mkubwa. Much respect
  6. M

    Ulokole wa facebook

    Umesema kweli kabisa. Wengine hadi hata ladha ya kuwasiliana inakuwa pungufu maana ukituma hata joke, mtu hajibu wala kucomment. Na pengine ni hizi jokes za kawaida tu wala sio matusi wala nini kusema amejiprofile. Halafu anacounter na mistari au zile sala ndeefu zenye masharti mwisho kuwa tuma...
  7. M

    English mbovu ya Linah inatia Aibu

    Mpumbavu na Nyambafu ni wewe mwenyewe. As for u-kilaza, pole yako maana hunijui na sikujui. Ukiandika bila kutukana hueleweki? Attitude mboovu na kutotaka kuambiwa ukweli. Utajijua kwa kweli ndo nishasema hivyooooo. Mtumwa wa lugha ni wewe na yeye mnaotetea makosa under pretext ya kulinganisha...
  8. M

    English mbovu ya Linah inatia Aibu

    Saasa , unamrekebishaje na wimbo kashautoa ? na anadai katumia Milioni sabini? Si huwa kuna sijui wanasema 'listening party"? alikosa mtu wa kumwambia? tatizo Watanzania wenzangu pia ukweli unatuwia mgumu kuu handle na kuambiana lakini anayekukosoa na kukwambia ukweli huyo ni rafiki. Mi kila...
  9. M

    Mke Vs Mchepuko: Nani ana haki zaidi? says who? THE HARD TRUTH

    Kweeeeliii... niliolewa na SFP ( sub-free P) walicheka hadi waliokuwa ICU na wagonjwa walokuwa na drip waliomba discharge mahospitalini ili waje wacheke! hakuna jema from the so called society!
  10. M

    Kigezo gani kinaipa uzito ndoa ya kanisani isivunjike katika dunia ya sasa?

    Msumari huu! Je kama mtu ameolewa na mume akawa hajimudu kabisa yaani usingizi mzito dusheni, je ni kigezo? na hawa hawakujuana wakati wa uchumba kama maandiko yasemavyo? Je mke anaweza kuomba mwongozo wa talaka hapa?
  11. M

    Majibu kwa lara 1

    Unadhani labda kinachowafanya wachelee kusema ni ili watu wasione kuna mabaya ili wawe wasononekaji ( na watunza siri) wengi ?
  12. M

    Majibu kwa lara 1

    Natumaini sikukosei mtoa mada na wengineo kwa kuuliza hili na natumaini pia hii sio mojawapo ya siri za ndoa. Uko kwenye ndoa miaka mingapi ? na range yako ya umri ni kati ya ngapi na ngapi? maana nikiomba exact naweza nisipewe labda kama umekomboka. Ni hayo mawili tu. Asante
  13. M

    Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

    Umemaliza? anayemjibu '--------' naye ni....... Eti mie mburula? you don't know what you are talking about na you shall never know. Endelea wewe ' mjuaji'
  14. M

    Vannesa Mdee: Sipendi kupika

    Yaani Demba umenichimba nafsini. Mi nashangaa huu utumwa na myth za kuolewa sijui kupendwa eti credit. Jamani! So kupendwa nako kumebandikizwa (pegged) na upishi? Ndio maana watu wanang'ang'ania majikoni ili iwe rahisi hata kuweka limbwata! ( am scribbling this with a tear in my rib.. tehe)...
  15. M

    Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

    Nachelea kusema tena juu ya hili nisije nikaambiwa nina kale kakidonda ambako ukikashiriki unakonda (a.k.a WIVU). Kwa ufupi tu naona madhara ya kukosa kazi na kutoelimika. Kila jambo unataka watu wajue na hapo sijui hata kama ni ukweli maana wadadavuzi waliotangulia, wanatoa changamoto (wana...
Back
Top Bottom