Recent content by Mandakakawa

  1. M

    JamiiForums Tanzania TAZARA na city train kwanini wauza ticket wanatutoza nauli kituo hadi kituo?

    TAZARA tunajua biashara yenu ya city train imeibinafsha kwa lengo la kukwepa May be ghalama za uendeshaji Tickets zenu zina expire time lkn Hawa mliowapa Kazi ya kuuza ticket wanacharge kituo hadi kwa kigezo unageuza nalo Mfano ukipanda magnus wakati linaenda mwakanga unatakiwa ulipe 1000/-...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnapotuuliza hili swali huwa mnatukata sana stimu

    Wanawake hawa tunawajua sisi labda huko kwenu mikoani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mara: Chama kina mamlaka ya kumuondoa hata Rais

    Hapa ndipo tunapokosea kuchanganya serikali na chama kama enzi ya mfumo wa chama kimoja
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

    Washabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuacha huyu mwanaume kwasababu anafanya mapenzi mara 9 kwa usiku mmoja

    Tatizo lenu na ninyi hamliziki Akipiga moja mchovu Akiwa na ndogo kibamia Mwanzo mwisho unalalamika Mnataka nn ninyi viumbe msiolizika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

    Ni kweli kabisa but the name of FoE bado lipo na umeelewa nn nimeamanisha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

    We engineer wa wapi? Wakati wa yale maisha ya FOE watu walikuwa wanakuja Kulwa kwa bwashee ile wapate ndoa na ma engineers
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Ninyi ndio wale mliokuwa mnajifanya mnajua maswali yakiwashindwa huko mnakuja kusumbua walimu shuleni Ndio maana huwa mna disco chuo hakuna tuition
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini hamjui kutupapasa bali mnatufinyafinya wakat wa maandalizi ya sex na mikono yenu migumu

    Tulia ugongwe we unataka hela, ukitaka ku enjoy na ww toa hela
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kusambaza picha hizi maana mnaongeza frustration za serikali

    Crack za udom ni za kawaida kwenye majengo ninauhakika na structural foundation colomn na beam ziko vizuri coz udom pesa ilitumika kwenye ujenzi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mume anahitajika 36+

    Duh sigara inanikosesha mke
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

    Kuridhishwa na utendaji na kubadili imani yako kuna uhusiano gani? Haya mambo yananikanganya ila hata siku moja mtu akisema nahamia uislam nimerodhishwa na utendaji wa mashekh au nahamia ukristo nimeridhishwa na utendaji wa maaskofu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa kiuhandisi: Interchange ya Ubungo vs Jengo la PPF (TANESCO)

    Kuongezea kuna bandari Kavu inajengwa ruvu soon mizigo yote ya bandarini itabebwa na train mpaka ruvu na malori kuchukulia ruvu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli na vifaa vyote vikatoka Uturuki?

    Alichosema hapa ni kweli ila Tanzania politician acha tu waitwe wana siasa Nilikuwa na mapenzi ya dhati act lkn now nikimuona mwl mwenye level ya PhD na mwanasheria aliepata nafasi ya kugombea cheo cha juu nchini Napatwa na maswali mengi
Back
Top Bottom