Mume anahitajika 36+

Habari wana JF,

Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.

Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.

Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.

Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..

Duh sigara inanikosesha mke
 
VP ulishapata?
 
..sasa si ungekuja tu na id hii toka mwanzo?
Acha utoto........kumdhalilisha mwalim ni sawa na kumtukana mzazi wako...... Tafakari na ujidharau......

By the way..... Hii ni ID yangu nnayo tumia kila siku kama unatafuta wa kubishana nae nenda hospital za vichaa..... Maana nahisi umetoroka wodini
 
...teh hee hee
..yuleyule 'chupi kwenye msumari',
."nitombe nikale!"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom