Recent content by mandaka

  1. mandaka

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limezuia msafara wa Halima Mdee

    majambazi wanakusanya hela ya uchaguzi hali mbaya 2015....
  2. mandaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitawezaje ku-copy picha kutoka Instagram?

    download na uisave kwa simu yako au share it with your account
  3. mandaka

    JamiiForums Tanzania Wale wa zamani mnakumbuka haya Mashirika?

    tiper? tulikuwa tunapata lami hapa hapa na mafuta bei poa. kiwanda cha ngozi na magunia moshi wacha tz itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno.....!!!!
  4. mandaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tuwe makini

    hadithi hii inatufundisha nini?
  5. mandaka

    JamiiForums Tanzania Yametimia! M23 wahofiwa kujificha Dar es salaam

    Kariakoo na mlimani city tuwe makini
  6. mandaka

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Akumbuke alivyofukuzwa muhimbili alilelewa na wachagga ashukuru mkwewe Mungu amrehemu aangalie sana mkewe katoka Hai kwa Mbowe asije akakosa njia ya kufika kwa wakwe.
  7. mandaka

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo ubabaishaji wa wapinzani bungeni unapojidhihirisha

    Buku saba ina ladha yake
  8. mandaka

    JamiiForums Tanzania Bundle: Ikitokea hivi huwa unajisikiaje?

    Raha ya ubahili
  9. mandaka

    JamiiForums Tanzania Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Kama ipo huku sio top secret tena....
  10. mandaka

    JamiiForums Tanzania Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

    Mtapeli alieshindikana huyo,madeni chungu nzima anaishi kama digidigi. Kwanza arudishe hela za NGO aliyokuwa anasimamia upanga jengo la EMAU. MBOWE kamlipia madeni mpaka kamchoka. Anaishi kinyumba na tapeli aliemharibia maisha anatafuta pa kujishikiza. Njaaaaa hiyo
  11. mandaka

    JamiiForums Tanzania Umeme Eneo Hilo Hilo Moja: Kwanini wengine wapate umeme wengine wakose?

    Hii ndio danganyika zaidi ya uijuavyo
  12. mandaka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, tunataka kujua fedha zetu za ruzuku zinavyotumika

    Wasiwasi wangu kuna uwezekano lumumba wamepandisha dau from bk7 to bk 10 haiwezekani kila wakikaa wawaze CDM tu
  13. mandaka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, tunataka kujua fedha zetu za ruzuku zinavyotumika

    Wasiwasi wangu kuna uwezekano lumumba wamepandisha dau from bk7 to bk 10 haiwezekani kila wakikaa wawaze CDM tu
  14. mandaka

    JamiiForums Tanzania Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

    Maisha magumu bila buku7 tutaishije mjini lazima tutapalilie..........
  15. mandaka

    JamiiForums Tanzania TBC mnajua maana ya live?

    Hapa hauko sawa, kipindi kiko live ndio maana umeambiwa tuma sms jaribu kuelewa au maana ya live umezoea kuona mpira au ndondi au malumbano ya hoja?
Back
Top Bottom