Wanaume wenzangu tuwe makini

Wanaume wenzangu tuwe makini

Mkuu wa Matema Beach umshukuru mungu wako, vp lkn unmjua mwalimu, Koga, au Kava??

hahahaaaa! Kava namjua vizr sana alikuwa ananifundisha chemistry. Lakin koga nilikuwa nimeshamaliza tayar. Vp ww umehitim mwaka gani mkuu
 
mkuu kama ameacha mtoto mfanyie kitu kwa niaba!!

mkuu kwa bahati mbaya hajaacha hata mtoto ameondoka kama alivyo na uzuri wake" wanyakyusa wanasema ikhibhumba kiitopile"
 
Inamaana ulikuwa hujui maana ya kutumia condom?
 
Back
Top Bottom