Recent content by Manchira

  1. Manchira

    JamiiForums Tanzania Makosa matatu ya Mwigulu Nchemba kufikia malengo yako

    Nlichoshuhudia jana kwa Nchema ni malalamiko kuhusu mapungufu ndani ya Serikali na historia ya maisha yake.Nlitegemea angejikita zaidi kueleza mafanikio yake kwa kipindi chake cha Ubunge na kwa kipindi kifupi alichoshikilia nafasi ya naibu Waziri wa fedha ili kukishawishi chama na wananchi...
  2. Manchira

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Mwigulu leo amekisaliti chama chake!
  3. Manchira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Watalainika tu,mpira ni biashara.Labda Van Gal asiwe na nia thabiti
  4. Manchira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mtandao wa Wikipedia umeonyesha kuwa Beki Otamendi amsaini kujiunga na Man U Source: CAUGHTOFFSIDE
  5. Manchira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania tunakimbizana kuchagua viongozi wanafiki Kenya wanachagua waleta maendeleo

    Hakika,kwa viongozi hawa wa mazoea na mfumo wetu wa kiutawala na kiutendaji,tunahitaji miujiza ili kuwafikia wa-Kenya
  6. Manchira

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Tupo pamoja Deception!
  7. Manchira

    JamiiForums Tanzania RAIS Buhari akikagua Ikulu (ASO VILLA) kabla ya kukabidhiwa rasmi hapo kesho:

    Demokrasia inaanza kukuwa Afrika,mwisho wa siku wataelewa tu.Kenya,Malawi,Zambia,Nigeria,who is next?
  8. Manchira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hodi hodi wana MMU, mgeni wenu naomba kupokelewa

    Karibu sana
  9. Manchira

    JamiiForums Tanzania Mwigamba kumvaa Mnyika Ubungo

    Mkuu ahadi za Mkuu hajazitimiza,huyo Mnyika ndo ataweza?
  10. Manchira

    JamiiForums Tanzania Udhamini wa ajira, ni sahihi mwajiri kutaka picha ya mdhamini?

    Inawezekana nmekosa neno zuri la kiswahili lenye kuleta maana sahihi,lakini namaanisha LETTER OF RECOMMENDATION
  11. Manchira

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya $34milioni kwa Vodacom! Upuuzi mwingine mkubwa serikalini

    Kwa nini hyo ruzuku isigawanywe kwa makampuni mengine yote ya simu?.Kwa nini Vodacom tu? .Ni kweli hitaji kubwa la Watanzania kwa sasa ni mawasiliano ya simu kuliko hata barabara,kilimo,afya,elimu na viwanda?
  12. Manchira

    JamiiForums Tanzania Udhamini wa ajira, ni sahihi mwajiri kutaka picha ya mdhamini?

    Poleni na majukumu JF members. Kama heading inavyosemeka. Kuna kijana mtaani kwetu ameomba kazi kwenye kampuni moja binafsi hapa Dar lakini moja ya vigezo vyao ni kuwa awe na wadhamini wawili ambao mmoja lazima awe mtumishi wa Serikali Alivyokuja kuniomba niwe moja ya wadhamini wake mimi...
  13. Manchira

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa bunduki aina ya AK 47, Mikhail Timofeyevich Kalashnikov

    Asante kwa drs zuri!
  14. Manchira

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa raha

    Zamani mkiwa mnasafiri mkaharibikiwa na gari mlikuwa mnaandaliwa chakula bila malipo na wenyeji wa eneo husika,siku hizi mkiharibikiwa na kushindwa kusafiri kwa muda chakula mnauziwa na wenyeji Kweli zamani raha!!!!
  15. Manchira

    JamiiForums Tanzania Anayolalamikia Reginald Mengi kama ni kweli, tunaelekea kwenye udikteta usiomithilika

    Nafikiri Mengi kaongea kwa nafasi yake kama Mwenyekiti wa wamiliki wa Vyombo vya habari Tanzania
Back
Top Bottom