Recent content by manchesterunited

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu, akamatwa na Polisi kwa kosa la Uchochezi

    Hivi naomba kuulizwa wakuu huyu salum mwalimumalishinda ubunge au alishindwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    Namkumbuka bongolojo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri bora la muda wote Tanzania

    Viwanda na biashara joseph clement rwegasira
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuendelea na masomo 2016/17

    Naomba msaada mimi nina dde pcm naweza apply university mlimani na nikaaply mkopo nisaidieni?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Enyi wadau wa elimu naomba mnishauri nisome kozi ipi kati ya hizi

    Kwenye computer kipi kinalipa vizuri kusomea
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Ushauri nimrmaliza form six Nimepata physics d,chemistry d na math e je naweza apply udsm?
  7. M

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA GARI MARK X

    Gali nzuri mark x rivas inakuonyesha kila kitu ukiwa unarudi nyuma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili, Tangazo la biashara la Coca cola "onja msisimko"

    JAMANI waandishi wa hapa bongo hawana ubunifu sasa mimi Nawapa kitu cha ubunifu hivi ukifika Air port arrival nani anajua kwamba alarm Za Magali huwa hazifanyi kazi vizuri ukitoka pale zinafanya jaribu siku mojamukilock mlango alarm Inakataa jaribu siku moja halafu mtupe Mrejesho jpili njema
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili, Tangazo la biashara la Coca cola "onja msisimko"

    Kwa kweli hata mimi linanikunGa hilo tangazo ni la kawaida ila Ndio Mambo tunayoyaishi ni ubunifu hapa watu wa marketing Wajifunze Na Nadhani wamelipata south africa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa chaki(my project)

    P Gl
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani wajitoa kwenye kamati baada ya wa CCM kupewa kibali cha kusafiri na wao kunyimwa

    Sasa si wamesusa bunge na safari ya usa wasuse basi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nauza rav4 milioni 8.5

    Inaonekana vizuri sana imesimama mwenye kununua hii ni gali spare zipo ila atwambie km ngapi mpaka sasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    We ndio hujui unakokwenda sisi tunaona anatupeleka pazuri sana asante mzee magufuri mafisadi wanaanza kulia hawaelewi pa kushika
Back
Top Bottom