Nauza rav4 milioni 8.5

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
296
225
ninauza Rav4 ikiwa katika hali nzuri sana.
Gari ni automatic
milango mitano
AC inafanya kazi vizuri
Model ya mwaka 2000
bei ni milioni 8.5
Maelewano yapo.Nitafute tufanye biashara 0656497469

IMG_20151031_120721-1.jpg

wp_ss_20160512_0001-1-1.png
 

lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,801
2,000
Kupiga rangi ni vby? Usijiaibishe bwana, mm gari hua napiga rangi soon niki import gari, just kumake gari look better n in new & free from scratch.

Sasa wabongo msha-crem rangi hupigwa baada ya ajali
Mkuu umenisusa mkuu.... Siku zinakatika karibu naondoka......
 
Top Bottom