Utengenezaji wa chaki(my project)

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
880
937
Hesima kwenu Wadau wa JF.
Nina wazo la kutengeneza chaki na kuziuza mashuleni. Sasa naomben msaada, CHALKS MOULD INAUZWA SHILINGI NGP?(umbo la kutengeza chaki) AU MASHINE INAUZWA SH ngp? Na ni wap inaptikana?
 
Guangzhou-Chalk-Making-Machine-Popular-in-Africa.jpg

FOB Price:US $1,000 - US $3,000 / Piece
Min. Order:1 PieceProduction Capacity:100
Package:Wooden Package
Payment Terms:L/C, T/T, Western Union
View more details 
 
mbona unaishia njiani? wengine tulitaka kuufahamu na huo mchanganyiko wake ni udongo au chokaa kabisa.
Huko Manyoni kuna viwanda bya watu binafsi kwa hiyo jamaa yangu
ABDUL sungita usikate tamaa hata SIDO watakusaidia jm si humuhumu/
 
Zipo sido mkuu wala usihofu zinapatika kwa bei nafuu sana ,
SIDO TDC MOSHI uhakika na mafunzo ya utengenezaji chaki wanakupa na hata namna ya kuifanyia matengenezo madogo()
 
mbona unaishia njiani? wengine tulitaka kuufahamu na huo mchanganyiko wake ni udongo au chokaa kabisa.
Huko Manyoni kuna viwanda bya watu binafsi kwa hiyo jamaa yangu
ABDUL sungita usikate tamaa hata SIDO watakusaidia jm si humuhumu/
Mkuu Ukwaju nimekupata vzr ngoja nitafute link ya SIDO WEBSITE huenda nkapata ninachotafuta.
 
million moja mkuu zilikuwepo saba saba sido ukishindwa watafute mjasiriamali kwanza wanavyo vibao uanzie hivyo ni chini ya laki moja wanauza
 
Back
Top Bottom