Recent content by MANAKE MKARI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja nilichonunua Tsh. Milioni 4 kilivyonipa zaidi ya Tsh. Milioni 20

    Una wenyeji huko kwala ? Umakini mkubwa unahitajika hilo eneo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wapi ulienda ukakuta ardhi bei ya kutupwa?

    kwa 300,000 unaweza kupata pori lililopimwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta miche ya mwarobaini wa kisasa

    Mkuu nashukuru nilifika kwake ila hana miti mingi kwa sasa.Naona raia waliichangamkia masika ilipoanza
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta miche ya mwarobaini wa kisasa

    Msata sehemu gani mkuu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maembe ya kisasa

    Mkuu mbali na Keit, ni aina zipi wanashauri?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri wa Kina Kuhusu Kilimo cha Maembe na Minazi

    Mkuu maendeleo ya miembe yakoje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pima Udongo

    Wilayani wapo kama kwenye kata hawapo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pima Udongo

    Siku hizi halmashauri nyingi zimepewa vifaa vya kupima afya ya udongo.Gharama zao zinaweza kiwa bure au kidogo sana.Jaribu kuwasiliana na afisa kilimo / ugani wa eneo husika
  9. M

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Asante kwa maelezo mazuri.Zinazozaa nazi kubwa ni aina gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ijue afya ya udongo ili utumie mbolea kwa usahihi

    Gharama za kupima udongo zikoje?Assume shamba lina ukubwa wa ekari 35 - 50
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Ingekuwa Kisarawe ungepata kwa urahisi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza eneo langu lipo Mkenge heka 3 price 3.5m

    Barabara ipi ya Msata inawekwa lami?Hii barabara mpya inapita wapi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naona kama mke ananikwamisha

    Utauza bila sahihi ya mke?Sidhani kama kuna mnunuzi atakubali hilo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Diff ya toyota noah

    350,000 hadi 500,000.Kuwa makini wasikupe ya Mark Two
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri uliojificha kwenye kilimo cha mbegu za mchicha

    Siyo mwenyeji ila napafahamu.Sasa hivi unanunua kwa mtu maana sehemu kubwa yalishapimwa na kupewa watu
Back
Top Bottom