CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,190
- 889
- Thread starter
- #101
Na the best Kilimo ni Permanent Crops....yanazaa kila mwaka utakunata tu na soko zuri kipindi fulani...TULIME embe ndugu zanguPole sana lakini shida yenu watu hamfanyi utafiti wa mda gani nilime zao hili au lile. Kwa bongo kanuni ni Moja tu Lima kitu kipindi bei ikiwa ndogo usilime kipindi zao flani Lina bei kubwa kwanini? Nikupe mfano kipindi unalima kitunguu nafaham kabisa kuipata mbegu tu ilikuwa mtihani kwani ilikuwa haipoi ikifika dukani imeisha swali, wapi inaenda ni shambani kwani mbegu hailiwi. Sasa kwanini upande msimu ambao bei ni ndogo, mfano msimu huu baada ya watu wengi kulima kitunguu na kuwakata kwenye bei basi asilimia 80 hukata tamaa kutokana na kupata hasara au kutofika matarajio hivyo ukilima sasa ndio soko litakuwa zuri