Recent content by Man mshindi

  1. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Niliyoyasikia kwa huyu kijana, baada ya kutokukata simu nilipomaliza kuongea naye

    Inaonyesha Dingilii kwenye maswala ya jak’s anakua mkalii fanya yente yente dgo asome Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi: Nianzie wapi kwenye biashara?

    Kiongozii me naona bado mapema sana kwa career yako ulioitafuta kwa miaka kama 7 afu kuitosa kwa ajili ya mshahara mdogo sidhan bado kuna firm nyingi hata kama unataka kujiajirii angalia wazo ambalo utaweza kuliendesha hata ukipata chance nyingine ya kazi...iyo 2milions wekeza ila bado pigania...
  3. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Pale umemaanisha mtaji wa 30k-50k au faida
  4. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Uncle nisaidie kufafanua maelezo yako ya mwanzo hapo kidgo
  5. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Shindano la unywaji pombe kufanyika Moshi Mkoani Kilimanjaro October,2019

    Uzii haujakamilikaa moshi maeneo gan? Na mda ganii?
  6. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Haahahaha kuhusu wachaga hapo full umegusia ka ukwel flan hv
  7. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la kabila la Wakurya

    Hapana waafrika sisi ni kabila moja kubwa sana inasemekana ni kizazi cha israel
  8. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Hata Mugabe wakati anaharibu uchumi wa nchi yake alishangiliwa sana na kuitwa mzalendo,leo wanalia!

    Huwajui hao unao watetea ndio mana mpka hapo nimegundua ni mtu usiyeweza kusimamia misimamo yako yyte ile sitaki kuchambua mambo ya magufuli ila hao kina chavez na mugabe umeropoka hujui ukwel fanya uchunguzii juu ya mabeparii ni kina nan
  9. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Hata Mugabe wakati anaharibu uchumi wa nchi yake alishangiliwa sana na kuitwa mzalendo,leo wanalia!

    Mifanoo uliyotumia haina misingi jiongeze
  10. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania One incredible vs stereo

    jesus ndo noma hao wote mawhack
  11. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Senegal kuongoza kumpindua dicteta wa Gambia

    hawamtoi kirahis rahis kama mnavyodhan jammeh nae cio mzembee ki hvyo na maamuz yake yako sawa weng mnaongeaa sana ilaa kibinadam hata ww hukubaliii
  12. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    ndio
  13. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Magari ya Jeshi la Kenya ukielekea Bukoba kutoa msaada kwa wahanga wa tetemeko

    Duuh wanajeshii hao hao ndio wapo busy kupambana na ndugu wasomal ila wa kwetu kimyaaaa
  14. Man mshindi

    JamiiForums Tanzania Taifa limegawanyika kuhusu UKUTA

    UKUTA UKUTA UKUTA ambao wanasema hawajaisikiaa wataisikia trh1 sept
Back
Top Bottom