Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Hivi kumbe huu UKUTA ni kitu real hahaha natamani sana lakini kwa mazoezi yale no way nitajikalia tu niangalie makamanda wakifanya yao,
Pakichafuka hata wewe hutakuwa salama pamoja na kiherehere chakomkipigwa, msije humu JF na malalamiko
You are absolutely right! Jambo dogo limekuzwa saana. Magufuli alikuwa ana support kubwa saana ya wananchi kwa ujumla, pamoja na wapinzani. Angeendelea na azma yake ya kuondoa mafisadi, kuleta viwanda, elimu bure, nk. Sasa wananchi wote, wanao mkubali na wasiomkubali, UKUTA ndio imekua agenda ya nchi. He lost political capital which is hard to get.Serikali imekuza mambo. Wangewapuuza chadema yasingefika huku yalipo.
Kikwete aliweza ila kwa John hapana.
You are absolutely right! Jambo dogo limekuzwa saana. Magufuli alikuwa ana support kubwa saana ya wananchi kwa ujumla, pamoja na wapinzani. Angeendelea na azma yake ya kuondoa mafisadi, kuleta viwanda, elimu bure, nk. Sasa wananchi wote, wanao mkubali na wasiomkubali, UKUTA ndio imekua agenda ya nchi. He lost political capital which is hard to get.
Yaah hata mimi naamini hivo, kwa kuachilia hii tension iendelee imewapa watu amsha amsha na nna uhakika kuna maeneo kama arusha na mbeya kuna possibility kubwa ya watu kuandamanaChadema wana mprovoke na yeye anajaa mazima.
Siamini kama kutakuwa na maandamano, ila serikali ipo kwenye tension ya kitu wasichokifahamu.
Tupigwe tusipigwe lazima tulete mrejeshomkipigwa, msije humu JF na malalamiko
Damu yako imejaa mabarafu! Kwa woga huo huponi utumwa