Recent content by Man-mishaeli

  1. Man-mishaeli

    Jifungue na ufahamu uchawi na matumizi ya majini kwenye uchawi

    Wewe ni MJINGA sijapata kuona.. [emoji33]
  2. Man-mishaeli

    Jifungue na ufahamu uchawi na matumizi ya majini kwenye uchawi

    Mshana Jr. Huyu ndio nan tena Mshana? Na alikuwa anataka nini mzee baba?
  3. Man-mishaeli

    Furaha yatoweka CCM, ushindi kama msiba, wapinzani washangilia. Rais ageuka kauli zake za awali kanisani Dodoma

    Stupid you are, Breed you should not. [emoji115] hiyo sio quote, ni statement.
  4. Man-mishaeli

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    [emoji33] [emoji33] [emoji33] Hivi watu mtakuwa vipofu hata lini? We unaota jini/demon anakujia kwenye ndoto na ana jinsia mbili alafu badala ya kumtafuta YESU (yaani MUNGU katika mwili) we unamtafuta wakala/mtumiwa na shetani aka "Mtu mzito n.k!" Sasa we unategemea atakupa ushauri gani? Ndugu...
  5. Man-mishaeli

    Msaada wa mawazo tafadhali, Anataka akafanye kazi za ndani Oman, kuna usalama?

    Post inasomeka: "How 'ARABS' in kuwait (inaweza kuwa popote pale) are treating 'AFRICANS' living there." Waarabu ni waarabu tu haijalishi yupo Oman, Kuwait au Sinza. Hata kama ukiwatetea vipi humu JF ila jua jinsi wanapokutazama dada Faiza sio sawa na wanavyo tazamana wao. Alafu google slave...
  6. Man-mishaeli

    Msaada wa mawazo tafadhali, Anataka akafanye kazi za ndani Oman, kuna usalama?

    Dada Faiza, waarabu hawa wapendi watu weusi hata kama mmefata dini (potofu) yao hili ni lazima nikuambie biashara za utumwa Afrika zilianza kwa waarabu, mzungu atasubiri sana. In short Mzungu, Muarabu, Mchina n.k wote hawa walikuwa na milele watakuwa maadui za watu weusi (waisraeli...
  7. Man-mishaeli

    Mwanamke bikra na asiye bikra

    Kati ya viumbe vyote ni binadamu tu ambaye humuona MUNGU alieweka "bikra/seal" kwa mwanamke kuwa hakujua anacho kifanya na alikuwa anapoteza muda wake tu. Wewe ni nani umkosoe MUNGU katika kazi zake? Wewe ni nani?
  8. Man-mishaeli

    Mwanamke bikra na asiye bikra

    Duh! Town (mkoa gani) au kijijini?
  9. Man-mishaeli

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nakushukuru sana "Mtu Mzito" kwa uzi huu maana kiukweli hata mimi umenifanya kuuelewa zaidi ulimwengu huu tuliopo. Pia samahani sana kama nitakukwaza kwa swali langu dogo. Nina hakika unakubaliana na mimi kwamba MUNGU ndiye muweza wa yote, na mwenye nguvu zote, kwa maana yeye ndiye Muumba wa...
  10. Man-mishaeli

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kijana usi karirishwe, weka nia ya kuelewa na utaeleweshwa...
  11. Man-mishaeli

    Sikiliza Voice of America Usiku Huu... Suala la JF Kujadiliwa

    Duh! Ndugu mtanzania mwenzangu hii ni AIBU.
  12. Man-mishaeli

    Magari 50 ya wagonjwa yote kupelekwa kanda ya ziwa, hii imekaaje?

    Kwa hiyo we kwa akili yako unaona namna ya kutatua hili tatizo ni kwa kurudia tatizo eti? Kweli tuna matatizo.
  13. Man-mishaeli

    Nataka Rais Magufuli ashindwe

    Sasa na wewe hapo amekosea nn? Acha ujinga bhana.
Back
Top Bottom