Recent content by mamy cute

  1. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    nataka nisome shaidi za wanawake wanaochitiwa nini wanafanya
  2. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

    ur ovulating
  3. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Ni mchallange vipi huyu mtoto maana akili yake imevuka mipaka ya elimu na hataki shule

    kupiga watoto sio suluhiaho la kila jambo
  4. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Ni mchallange vipi huyu mtoto maana akili yake imevuka mipaka ya elimu na hataki shule

    sio kweli ila aliniona kilaza kitendo cha kumwambia aseme tena
  5. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Ni mchallange vipi huyu mtoto maana akili yake imevuka mipaka ya elimu na hataki shule

    watoto wa siku hizi mwananngu kuna kitu alikua ananiambia sikumuelewa nikamwambia unasemaaa? yaani kama nauliza aseme vizuri sikumuelewa akasema "its beyond ur knowledge level..never mind" akanyamaza yaan tangu juzi namtafakari
  6. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Naombeni chaka la kinyozi/ vinyozi wazuri bei kitonga

    chukua namba yake kila ukienda unamchek
  7. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Kwa level yake huyu golikipa wa Singida BS lazima ashukiwe!!

    sijui mpira ila mbona alikua ndani ya goli? which means vyovyote vile lazima gold ningeingia
  8. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za Tour Guide Zanzibar

    naku inbox wiki ijayo nahitaj hii huduma
  9. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za Tour Guide Zanzibar

    huu uzi sijawah uona aisee kweli hivi solo trip michakato yake ikoje
  10. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka millenials kaburi letu lilikuwa madawa ya kulevya. Hawa Gen-Z kaburi lao ni mapenzi kinyume na maumbile

    unafananishwa au unajifananisha??? acha shobo umeona nakufata kwenye coment popote au wewe ndo unanifata fata kila mara?? embu kaa kwa kutulia binti punguza speeed kama yako huiombi ukiona unaiomba sio yako kama id tu inakutetemesha huyo bwana sio wako mpuuzi wewe
  11. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

    sawa love!
  12. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

    huyo kwenye picha ni wewe 🥰🥰🥰
  13. mamy cute

    JamiiForums Tanzania What's on your mind today?

    sawa
Back
Top Bottom