mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,667
- 80,529
Njoo na ID yako ya zamani.🤣
it has nothing to with ids
ila siamini kama hadi wewe upo single
Njoo na ID yako ya zamani.🤣
it has nothing to with ids
ila siamini kama hadi wewe upo single
Hakuna mtu na muita Daddy zaidi ya mganga 🤣🤣Sababu ya kufurahi ni kwamba; wewe kila mtu hapa unamwita daddy, Babu.
Sijui ni kwanini? 😊
Kutema yai mpka nilewe.Mayoo nakujua huwa unatema yai hadi waingereza wenyewe wanaogopa 😂 😂
Aaanh wapi, wote watu wazima nyie 😂Na uzee huu si ntambemenda kijana wa watu bado mdogo😒
Hakuna mtu na muita Daddy zaidi ya mganga 🤣🤣
Labda ma mababu ni wengi na ni wawili tu
Hii kama movie ya sinema ya James bond Chivundu
Naanza kukutafsiria kwa ishara
sawaNjoo na ID yako ya zamani.
Usiache kunitag tu😁
Nimekuita babu ukawa mkali nimekubatiza kijana wa makamo kama nilivyombatiza Dad jina la GnZMimi sio Babu yako? 😊
Au umebadiri hisia zako?
Unajimilikisha familia humu JF 😂 mara daddy, mara babu - one day utakuja kutusimulia 😆😆😆
Ni mimi huyo!Huyu mama nimecheka 😀😆
Wanakusumbua nini mjukuu!!
🤣🤣🤣 tayali cha kusimulia ninacho nikuambie🤪Unajimilikisha familia humu JF 😂 mara daddy, mara babu - one day utakuja kutusimulia 😆😆😆
NafwaaaaNi mimi huyo!
Nimekuita babu ukawa mkali nimekubatiza kijana wa makamo kama nilivyombatiza Dad jina la GnZ
Kuna mtu anasema kila mtu namuita babu humu nikamwambia sio kweliWanakusumbua nini mjukuu!!