Recent content by Mamour Ameer

  1. Mamour Ameer

    Mahusiano ya sasa yamegeuka kausha damu

    Mahusiano yamekuwa magumu Sana hasa Kwa vijana wengi tunaojitafuta imefika mahala ukiwanampenz huwez kufanya mamb yakimaendeleo kutokana na swala lakutegemewa Kwa kila kitu ,unaombwa Hela mpaka unaamua uyakumbie mahusiano yenyew , wanawake tatizo Nini mnahitaj mapenz au pesa???
  2. Mamour Ameer

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nawapenda wotee kwajili yamungu gonga like
  3. Mamour Ameer

    Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Only ACT raisi awe zitokabwe kudadek wataisoma namba
  4. Mamour Ameer

    Naombeni ushauri

    Upoo mkoa gan Kwanza
  5. Mamour Ameer

    Mgao wa umeme na maji, mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za bando. Nani alaumiwe?

    And that's why life span inazidi kupungua itafika muda mtu ukifkisha miak 40 we nibabu tayar Yan uwaze mapenz ,umeme,maji ,familia natozo juu miaka 70 tutaiskia tuu
  6. Mamour Ameer

    Mgao wa umeme na maji, mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za bando. Nani alaumiwe?

    Walivyotuomba vijana tujiajiri tukasema sawa tutakodisha kiroom tutaweka computer tutabana muvi pamoja nasaloon ,wengne wakasema tutakuwa wachomeleaji , wengine wakasem tutakopa mkopo benki wamashine yakusaga nakukoboa ,wengine wakasema tutajiingiza kweny uokaji wamikate yote hayo pamoj...
  7. Mamour Ameer

    Mgao wa umeme na maji, mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za bando. Nani alaumiwe?

    [emoji848][emoji848][emoji848]Sasa mm nahusikaje nakukata umeme
  8. Mamour Ameer

    Mgao wa umeme na maji, mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za bando. Nani alaumiwe?

    Wananchi tumekuwa wahanga wakubwa mno kwenye maswala tajwa hapo juu vipi unahisi Nani anapaswa kulaumiwa?
  9. Mamour Ameer

    Naombeni ushauri

    Yaan umejitolea nabado wanakupa kazi ngumu hvyo jewakikuajiri siwataomba roho yako[emoji1787][emoji1787]
  10. Mamour Ameer

    Ninajihisi aibu sana kwa kumtaka kimapenzi huyu binti wa mama akaamua kunikataa na matusi juu

    Hahaha duuh mwanangu umeyakanyagaa ,, [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Mamour Ameer

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nimekupa like gonga like mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Mamour Ameer

    Natafuta mchumba/mume

    Waambie ndugu zako
  13. Mamour Ameer

    Mbona siwaoni waoaji mwe!

    Ndo ureplay my pm Sasa untk upasiwe nn
Back
Top Bottom