Mahusiano ya sasa yamegeuka kausha damu

Mahusiano ya sasa yamegeuka kausha damu

Mamour Ameer

Member
Joined
Sep 19, 2022
Posts
19
Reaction score
12
Mahusiano yamekuwa magumu Sana hasa Kwa vijana wengi tunaojitafuta imefika mahala ukiwanampenz huwez kufanya mamb yakimaendeleo kutokana na swala lakutegemewa Kwa kila kitu ,unaombwa Hela mpaka unaamua uyakumbie mahusiano yenyew , wanawake tatizo Nini mnahitaj mapenz au pesa???
 
tafuta ambae utamudu matumizi yake au utaweza kumhudumia tulia nae

mambo makubwa usioyamudu achana nayo tu ndugu
 
Mahusiano yamekuwa magumu Sana hasa Kwa vijana wengi tunaojitafuta imefika mahala ukiwanampenz huwez kufanya mamb yakimaendeleo kutokana na swala lakutegemewa Kwa kila kitu ,unaombwa Hela mpaka unaamua uyakumbie mahusiano yenyew , wanawake tatizo Nini mnahitaj mapenz au pesa???
Huna sababu ya kuhudumia mwanamke asie kuwa mke wako, Dada poa wapo kibao kama ni Genye kamalize huko, pia ukiona mwanamke ana kuomba hela sana jua hapo hakuna upendo kimbia hara eneo hilo kabla mambo haya jawa makubwa.

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Mahusiano yamekuwa magumu Sana hasa Kwa vijana wengi tunaojitafuta imefika mahala ukiwanampenz huwez kufanya mamb yakimaendeleo kutokana na swala lakutegemewa Kwa kila kitu ,unaombwa Hela mpaka unaamua uyakumbie mahusiano yenyew , wanawake tatizo Nini mnahitaj mapenz au pesa???
Hapo ni mpenzi tu, akiwa mke je? Ndiyo maana timu kataa ndoa inazidi kupata umaarufu.

Na kwa taarifa yako timu kataa ndoa imepata na mwanachama ambaye ni mwanasheria maarufu...Fatima Karume.
 
Mahusiano yamekuwa magumu Sana hasa Kwa vijana wengi tunaojitafuta imefika mahala ukiwanampenz huwez kufanya mamb yakimaendeleo kutokana na swala lakutegemewa Kwa kila kitu ,unaombwa Hela mpaka unaamua uyakumbie mahusiano yenyew , wanawake tatizo Nini mnahitaj mapenz au pesa???
Kwani nani aliyewaroga hadi mteseke sana na mapenzi, Uliona wapi mwenye gari akawa domo zege? Tafuta pesa na tumia pesa ili usilalamike.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mahusiano yamekuwa magumu Sana hasa Kwa vijana wengi tunaojitafuta imefika mahala ukiwanampenz huwez kufanya mamb yakimaendeleo kutokana na swala lakutegemewa Kwa kila kitu ,unaombwa Hela mpaka unaamua uyakumbie mahusiano yenyew , wanawake tatizo Nini mnahitaj mapenz au pesa???
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom