Recent content by mamenrevy

  1. mamenrevy

    Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

    ITV mishahara mbuzi
  2. mamenrevy

    Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

    Yule bila shaka katumwa kuja kuwawakilisha mabeberu wenzie.
  3. mamenrevy

    Pugu/Tazara: Trafiki wanavyohujumu mapato ya reli

    Mkuu bila shaka na wewe ni mzee wa bandika ugari mboga inakuja?
  4. mamenrevy

    Naweza kufutilia ili niongezewe pesa ya special faculty requirements?

    Hujamaliza shule ushaanza kuwaza ajira bila shaka ni kawaida yako kuchamba kabla ujanya kisha unasepa na mzigo wako.
  5. mamenrevy

    Regional Sales Manager wa Tigo mkoa wa Mara acha kuonea vijana

    Msoma ajiangalie wazee wakugecha wasije wakamuangukia ikabaki story.
  6. mamenrevy

    Naomba msaada kwa wastani gharama za ufundi wa nyumba ya vyumba 4

    Msingi kuchimba na kujenga wakikugonga sana 800,000/= Kuinua Boma 2,000,000/= Renter 1,000,000/= Hivyo Ghalama zita kuwa kati ya 3.5m -5m. Chini ya 3.5m Kazi itakuwa hovyo zaidi ya 5m umepigwa.
  7. mamenrevy

    Mtwara; Hotel ambayo mwaka 1 uliopita ilikua lazima ufanye booking leo hii tupo wateja 3 tu

    Hii ni ndoto ya mchana. wameshindwa kuisimamisha IS nani ataweza?
  8. mamenrevy

    Barbershop ni kama madanguro

    Na chanjo imezinduliwa rasmi
  9. mamenrevy

    Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Inaonekana ulikuwa unamwibia mwajili wako bila mahesabu ukiwaza kumalizia nyumba yako. nijuavyo mimi nyumba ni choo. madamu ushachimba choo tafuta bati used hezeka chumba na sebre hamia kwako mishe zingine zitakukuta hapo hapo
  10. mamenrevy

    Je, kuahirishwa na kufutwa kesi za Jamhuri ni uzembe?

    Lakini mhusika jasho linakuwa lishamtoka kwenye ulimi.
  11. mamenrevy

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Wanachomaanisha wasemaji kama nimewaelewa Simba na Chui unaweza kukutana naye kama hana njaa au stress akakukaushia. Ila huyu mdudu ni kama asidi hana sababu. ukikutana naye piga sara ya mwisho haijalishi umemchokoza ana njaa hana njaa yeye anatamani awe pekeake pasiwe na kiumbe mwingine karibu...
  12. mamenrevy

    Jeshi la Warumi

    Bada ya Wasabato kumshitaki kwa hira kuwa haishiki sabato Yohana 9:16
  13. mamenrevy

    Kupiga mswaki na kopo la kuogea

    Nikadhani umekuja na utafiti wa kisanyansi juu ya athari za tabia hizo kumbe unakwazika na tamaduni ya kiafrica maana hiyo siyo tabia ni tamaduni. nashauri uhamie zimbabwe.
  14. mamenrevy

    Sitakaa nikarudia kununua Tanzania 'used car' nimekoma

    Ist used ya japani 10.5m unaagiza na kuitoa bandarini. ila wewe ukaona 8m tofauti ni 2.5m ukaina umesave kweli kweli. vya bahiri uliwa na nyenyere. uliruka mkojo ukakanyaga nyaa.
  15. mamenrevy

    Natamani sana na mno kumjua huyu anayempelekea Rais taarifa kwamba...

    Umeamua kutoa ya moyoni kabla sheria ya majina haijaanza kazi
Back
Top Bottom