Recent content by MAMENGAZI

 1. M

  Wa mwisho ndiyo mshindi

  Bajeti bila kuibana maisha yatakushinda
 2. M

  Wa mwisho ndiyo mshindi

  Nani ataamua nani awe mshindi
 3. M

  Funny and Crazy Mugabe quotes that will leave you rolling on the ground with laughter

  When using your towel use it with care cause the part you dried your buttoks with today will dry your face tomorrow.
 4. M

  Rais alidanganywa? Vitambulisho vya NIDA vina signatures

  Mimi binafsi nimeshiriki katika ku test hicho kitambulisho kwenye bank ambazo zimeteuliwa na kupatiwa hizo mashine na niliona data zangu zote ikiwemo saini. Nafikiri saini inayoongelewa hapa ni ya juu ya kitambulisho ili kiweze kutumika popote hata pasipo na machines
 5. M

  Ukionacho Ndotoni

  ha ha ha, beti ya kwanza imeniacha hoi ha ha ha
 6. M

  Shairi: Leo navunja kibubu

  shairi limenikosha, lazima watambue hayajengwi kwa tofali kama nyumba!!!
 7. M

  Kanyaboya bora za 2015, karibu mwaka mpya

  mambo mengine ni pasua kichwa aisee
 8. M

  Kwa hali hii Kikwete ana haki kabisa ya kukataa kuishi Msoga

  Mheshimiwa spika swali la msingi!!!
 9. M

  New Dar Master Plan to render millions homeless

  mmh, hii si habari njema hata kidogo, kwanini kuwaweka watu roho juu!!!
 10. M

  New Dar Master Plan to render millions homeless

  mmh, hii si habari njema hata kidogo, kwanini kuwaweka watu roho juu!!!
 11. M

  Rais Magufuli akabidhiwa rasmi ofisi ya Rais na Rais mstaafu Dr. Kikwete

  Sadoseba, hata mimi ningependa kupata tafsiri ya kile kicheko maana kimeniachia maswali mengi kichwani. Naona kama Magu aliki shtukia
 12. M

  TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

  OMG, hii habari imenisikitisha sana, poleni sana wanafamilia, pumzika kwa amani Kamanda, umeondoka wakati unahitajika zaidi. kwa kweli ya Mungu mengi.
Top Bottom