Utaratibu huo ni mzuri nilipata kuona makala moja enzi za utawala wa serikali ya awamu ya wakati rais Mkapa alipotembelea china.
Wao pia walikuwa na maeneo yasiyopimwa lakini kilichokuwa kinafanyika walikuwa wanaorodhesha wakazi wa eneo husika kisha linaboreshwa kwa kujengo majengo ya kisasa.
Wahusika walikuwa wanapewa uchaguzi wa kupewa apartment au pesa maana huwezi kuwaondoa wananchi bila ya kuwalipa fidia
Kama Magufuli anataka nchi isitawalike, basi atekeleze huu mpango. Ni rahisi kutenga maeneo mapya ya viwanda na kutengeneza master plan mpya ambayo ina accomodate the current situation.
Tatizo naona si Magufuli, ni hao 'wataalam' wetu vilaza na wasio na exposure.Mbezi for industrial purposes....Magufuli taratibu baba.
aise nchi yetu kuna watu wamesoma lakni hawafikirr kabisa yani.Hata leo tukisema mbagala ni sehemu ya viwanda je itakuwa ni sawa? kwanini wasijenge treni itakayopitisha malighafi nk kutoka bandarini kwenda huko ndani kwani mpaka iwe dar? huko bagamoyo nako kumejaa huwezi ukaweka kiwanda pale.Tatizo naona si Magufuli, ni hao 'wataalam' wetu vilaza na wasio na exposure.
Ati Mbezi kuwa industrial area!!
Inahitaji mtu kutoka kijijini jana kufanya uamuzi huo, hata kama amesoma mpaka PhD,
Kwa nini industrial area isipelekwe Masaki au Oysterbay kabisa?
Utaratibu huo ni mzuri nilipata kuona makala moja enzi za utawala wa serikali ya awamu ya wakati rais Mkapa alipotembelea china.
Wao pia walikuwa na maeneo yasiyopimwa lakini kilichokuwa kinafanyika walikuwa wanaorodhesha wakazi wa eneo husika kisha linaboreshwa kwa kujengo majengo ya kisasa.
Wahusika walikuwa wanapewa uchaguzi wa kupewa apartment au pesa maana huwezi kuwaondoa wananchi bila ya kuwalipa fidia
Mimi ni mmoja wa watu ambao natamani Miji iwe imejengekaa vzr, ingawa Magufuli anakazi nzito kuujenga huo mji, ila hakuna namna.
Lawama zote zielekee kwa mwinyi, mkapa na JK.
Enzi za nyerere nyumba zilikuwa zimepangwa vzr, kila nyumba umbali wa mita 6
Mkuu ukipigia gharama ya 500,000 kwa kibanda nadhani utakuwa umejisaulisha gharama za ujenzi au umeamua kudharau.Tubanda twenyewe tutakua labda 500,000.
So 500,000x$100,000=50,000,000,000/=
Hivi kagesi ketu hakatoshi kulipia hili zoezi?
Mbona ni tujisent tu huto jamani?
Sio Dar tu,mipango miji inabidi uwe nchi nzima bila kujali ni mjini au kijijini...Maana kuna maeneo yanayofaa kwa kilimo huko vijijini watu wamejenga,sehemu inayofaa kwa mifugo,watu wanalima yaani vurugu sana,mpango huu utekelezwe nchi nzima ila kwa haki na kulinda Raia kwani serikali ndio iliokuwa na makosa labda mabondeni na maeneo ya waziLicha ya kwamba wengi tunataman jiji la dsm lionekane vizuri ila gharama ya kulifumua ni kubwa sana na sidhani kama ni dhamira yao kufanya hivyo! Wanachofanya sasa ni kuondoa wote waliojenga kwenye mabonde ya maji, maeneo ya wazi na kwenye fukwe!! Haya mengine sidhani kama watavunja!
Ha ha ha ha,umeguswa hapo.Mbezi for industrial purposes....Magufuli taratibu baba.
Sometime unashindwa kuamini hivi vitu! Magu anatafuta kupinduliwa. Aliyepaswa kuupanga huu mji ni nani? Nasmini wana mabilioni ya kutosha kulipa fidia!