G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,591
- 36,004
Mara nyingi nimekuwa nikipishana na msafara wa rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Mrisho Kikwete ama ukitoka mjini au kuelekea mjini kupitia barabara ya Bagamoyo.
Kwa kweli ni aibu! Mbali na msafara huo kutumia ving'ora na pikipiki za polisi bado hakuna tija yoyote! Utakuta barabara imefunga kwa foleni! Mara nyingi msafara wake huishia kupitia njia za pembeni (service road) au kuchepuka njia nyingine!
Sasa kama mnaona ni fahari kumtumia mzee wa watu kwenye shughuli ambazo kimsingi anamuwakilisha (mara nyingi) rais kwanini mumuwekee mazingira magumu kufika uwanja wa ndege? Mnapitisha kama vile hajawahi kuwa rais bwana!
Hata kama kuna mambo ambayo hakufanya vizuri ila si mlikubali akaongoza nchi na bado mnamtumia? Kuna ugumu gani kumuwekea mazingira mazuri kutoka na kufika nyumbani kwake? Utakuta msafara wake unapenyapenya hadi unajiuliza kwanini asipewe tu favour?
Emb mjalini mzee wenu bwana na mumpe hadhi ajisikie amani kufanya shughuli mnazomtuma.
Mtu mzima hadi analalamika kuwa nyumbani kwake ni mbali? Emb mumpe kipaumbele apitapo njiani kama atalalamikia tena umbali.

Last edited: