Ni mara nyingi sana wananchi wamekuwa wakitoa malalamiko yao lakini kwa sababu ya kiburi cha wachache wanaopewa nafasi za kuongoza taasisi za serikali wanawadharau na kutoa majibu yasiyokidhi haja na kupeleka wananchi kuwa na hasira na mfumo mzima wa serikali.
Mwezi Mei mwaka huu,PPF walitoa...
Wana JF
Pamoja na kukakanusha taarifa za kuzuia wanachama wao kuchukua michango yao mara kazi au ajira zao zinapositishwa,iefahamika rasmi kuwa PPF kwa sasa hawatoi michango ile pale wahusika (wanachama)wanapokwenda kuchukua.Sababu inayotolewa na PPF ni kuwa,wamezuiliwa na SSRA(Mamalaka ya...
Hizo tuhuma zipo na zipo kisiasa zaidi.Ni kwamba wakenya wengi wanamwona Magufuli kama role model na kiongozi anayewafaa.Wanasiasa wa upande wa jubilee wanaogopa kuwa umaarufu wa Rais Magufuli akiwa pia rafiki wa Raila Odinga ni tishio kwa Jubilee kwenye uchaguzi utakaofanyika mwakani.Wakenya...
Baadhi wakaguzi wa mamlaka ya Afya na usalama kazini wana mgongano wa kimaslahi kazi ambapo badala ya kukagua maeneo ya kazi na kutoa ushauri kwa wateja wao namna ya kuboresha usalama kazini,wameanzisha utaratibu wa kukagua,kumshauri mteja na kufanya kazi aliyomshauri mteja kwa malipo.
Hii...
Baadhi wakaguzi wa mamlaka ya Afya na usalama kazini wana mgongano wa kimaslahi kazi ambapo badala ya kukagua maeneo ya kazi na kutoa ushauri kwa wateja wao namna ya kuboresha usalama kazini,wameanzisha utaratibu wa kukagua,kumshauri mteja na kufanya kazi aliyomshauri mteja kwa malipo.
Hii...
Huyu Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu anapaswa kujua namna ya kuandika press release.Ukiangalia habari zake ni kama anaandika gazeti.Ni vyema habari ikawa fupi na yenye ujumbe uliokamilika.Press release nyingi anazoandika mtaalamu huyu ni ndefu kama kurasa za gazetI
OSHA nzima ni vyema ikafumuliwa na kuundwa management mpya itakayokidhi malengo ya kuundwa kwa mamlaka hiyo.Hii ni kwa sababu kumekuwa na ukiritimba mkubwa katika kuwahudumia wateja.Wafanyakazi wengi wa mamlaka hii hawaza taaluma ya kutosha kufanya ukaguzi wa baadhi ya sehemu husika za kazi kama...
Prime Minister David Cameron was caught on camera telling Queen Elizabeth on Tuesday that leaders of some "fantastically corrupt" countries, including Nigeria and Afghanistan, were due to attend his anti-corruption summit.
Cameron will host an international anti-corruption summit on Thursday...
Tatizo letu tunapenda habari za kila siku ziwe zinazotuandika vizuri...Mbona kutoautiana kwenye masuala ya uongozi ni jambo la kawaida?Waacheni Waandishi wafanye kazi yao!
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutokana na mchakato unaoendelea wa kumkabidhi Rais Dk. John Magufuli uenyekiti wa chama hicho, kukumbwa na sintofahamu.
Taarifa kutoka ndani kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC), kilichofanyika juzi...
Pamoja na nia nzuri ya serikali kubana matumizi na Bunge pia kuamua kurusha Habari za bunge bila kuchukuliwa na vituo binafsi vya televishen moja kwa moja,mie kama raia wa Tanzania ninaisihi sana serikali yenu na Bunge letu tukufu kuruhusu vitu binafsi kurusha matangao “live” ya vipindi vya...
President John Magufuli
President John Magufuli's still-nascent government has been hit with substantial external aid cuts just months before it unveils its maiden budget for fiscal year 2016/17.
It was confirmed yesterday that 10 out of a group of 14 western donor entities have announced...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.