jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Wafanyakazi wa North Mara wakerwa na Kauli ya kupata mafao yao baada Ya kufikisha miaka hamsini baada ya kuacha /kuachishwa Kazi.
Kwa hali hiyo wamemuomba mh. Rais Magufuli kupitia vyombo vya habari kusikiliza vilio vyao kwa sababu aliwahaidi kipindi cha kampeni kuwa atawatetea wanyonge ambao ndo kama wao.