Baadhi wakaguzi wa mamlaka ya Afya na usalama kazini wana mgongano wa kimaslahi kazi ambapo badala ya kukagua maeneo ya kazi na kutoa ushauri kwa wateja wao namna ya kuboresha usalama kazini,wameanzisha utaratibu wa kukagua,kumshauri mteja na kufanya kazi aliyomshauri mteja kwa malipo.
Hii inapelekea kuzorota kwa usalama katika maeneo ya kazi kwa sababu,kasoro zinazotokana na ukaguzi hazirekebishiwi kwasababu mkaguzi ndiye anaelipwa tena kurekebisha kasoro hizo.
Mtendaji mkuu wa OSHA anapaswa kufuatilia hili na kuwabaini watumishi hao wasio waaminifu na wanaochafua taswira nzima ya OSHA.