Recent content by mamboga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye RAM ya Computer

    Mm laptop ni aina ya fujtsu model amilo la 1703 vp ram yake ni aina gani hapo mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop ya Tsh laki mbili.

    Mm ninayo ila nipo tanga kama upo karibu na tanga karibu nikupe mzigo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuhama chuo ukiwa umeanza masomo

    Hembu fafanua kwanza chuo hakieleweki vp ndio tukuambie cha kufanya kwan ukifanya hvy utasaidia hata wale wanaotaka kuja kuanza kusoma hapo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Laptop HP Elitebook 8440P model inauzwa

    Samahan mkuu naomba kuuliza tofaut kat ya graphic card aina ya nvidia na amd
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu chuo cha Bombo Tanga.

    Bombo kuna vyuo viwili chuo cha kwanza kinaitwa tanga school of nursing ambacho ndani yake kinatoa kozi ya uuguzi,community health,na pia kuna enviroment science tawi la muhimbili na chuo cha pili ni AMO assistant medical officer hiki kinatoa diploma na pia kuna dental
  6. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Hp for sale

    Jaman naomben msaada hivi processor hii unaisomaje AMD sempron(t) 34000 + 1.80GHZ
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    kwanza ww unataka kutumia njia za uzazi wa mpango kwa malengo gani na pia una mume au laah na kama unataka kutumia hizi njia kwa kuchepuka au laah kwan unapo sema atumie kitanzi ndio kitanzi ni kuzur kwa hakina homoni na itakuwa unaingia kwenye siku zako kama kawaid ila sasa unatakiwa kutulia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kozi gani nisomee

    Ukiwa na d moja tu ya bios na zingine zote f husomi hii kozi ''' vigezo vyake ni hizi unatakiwa kuwa na pass nne ila katika hizo pass nne d moja iwe ya bios na d nyingn 3 kutoka masomo mengne ila ww inaonyesha una d3 tu so hutosoma chuo chochot then pia mfumo wa sas hv mama anataka kuanzia d4 so...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji LAPTOP..

    Ipo fujistu ipo kwenye hali nzuri tu bei lak2 jamaa amefukuzwa ada ya chuo kwahy anauza kwa bei hiyo ili arudi chuo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa laptop za Dell unisaidie hapa natamani niitupe i laptop

    Mm laptop yangu nzito sana jmn naomben msaada wenu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Laptop aina ya Toshiba inauzwa

    Processor yake mbn ndogo sana yaan 1.00ghz dah
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa laptop za Dell unisaidie hapa natamani niitupe i laptop

    dah sawa mkuu kwahy hapo shida ni VGA mkuu au
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa laptop za Dell unisaidie hapa natamani niitupe i laptop

    Na pia pc yangu ram ni 512mb so kwa upande mwngn nikiingalia movies inasumbua sana kwani inanatanata sana so hapo je tatizo linaweza kuwa nn mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa laptop za Dell unisaidie hapa natamani niitupe i laptop

    Sawa mkuu ngojea nicheki
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa laptop za Dell unisaidie hapa natamani niitupe i laptop

    Ndio zipo kamili mkuu kwani nikiweka mziki upande wa saut unaonyesh kabisa kama unafanya kazi ila saut ndio haitoki
Back
Top Bottom