Ni pm kama unataka za desk top..Wakuu mwenye RAM isiwe ndogo sanaaa naomba tuongee Basi ili aniuzie
Mm laptop ni aina ya fujtsu model amilo la 1703 vp ram yake ni aina gani hapo mkuuRAM ninazo ila sasa sijaelewa unataka ya aina gani....kuna za desktop na za Laptop na pia kuna DDR, DDR2 na DDR3 sasa mkuu unatafuta ipi?
Kama hutaweza kufahamu type ya RAM yako nipe model ya computer yako then nitajua unatumia RAM gani. Kwa mawasiliano zaidi nichek kwa number 0658020361
DDR 3 mkuuRAM ninazo ila sasa sijaelewa unataka ya aina gani....kuna za desktop na za Laptop na pia kuna DDR, DDR2 na DDR3 sasa mkuu unatafuta ipi?
Kama hutaweza kufahamu type ya RAM yako nipe model ya computer yako then nitajua unatumia RAM gani. Kwa mawasiliano zaidi nichek kwa number 0658020361
Mkuu sorry kwa kuchelewa kukujibu... RAM za Dell Inspirion mara nyingi ni DDR3 type na chache ni DDR2. Bei zao ni kulingana na ukubwa (GB's) kama ifuatavyoZiorodheshe mkuu RAM za dell inspiron au zote ulizonazo na bei zake
Boss DDR3-4Gb nitakuuzia kwa 35,000 upo wapi nikuleteeWakuu mwenye RAM isiwe ndogo sanaaa naomba tuongee Basi ili aniuzie
Mkuu upo mkoa ganiDdr3 4gb ram 30k ninazo nne
DSMMkuu upo mkoa gani
Nipo arushaDSM
Njoo nikuuzie DDR 3 4GB kwa tshs 25000/=
ARUSHA duh ! mbali sana inahitaji UAMINIFU km uko serious nicheck PM nikupe namba tuwasiliane then tujue tunafanyajeNipo arusha
basi, hiyo biashara itakuwa ngumu mkuu. kuna ram niliwahi kutumiwa alafu ikakataa kupiga kazi.......ARUSHA duh ! mbali sana inahitaji UAMINIFU km uko serious nicheck PM nikupe namba tuwasiliane then tujue tunafanyaje