Jinsi gani ya kuhama chuo ukiwa umeanza masomo

alvin1995

Member
Nov 1, 2016
34
12
Habari jaman humu, mimi ni mwanafunzi wa Kampala University mwaka wa kwanza (IT) nilikua naomba kujua taratibu za kuhama chuo maana ni gharama sana na akieleweki na ukizingatia mkopo nimekosa na pesa za matumizi inakuwa ngumu.

Naombeni utaratibu wa kuhama pale nisimalize mwaka.
 
Hembu fafanua kwanza chuo hakieleweki vp ndio tukuambie cha kufanya kwan ukifanya hvy utasaidia hata wale wanaotaka kuja kuanza kusoma hapo.
 
Yan pale kiu ada kubwa sana ukichek mi nakula urefu wa kamba ynywe fupi na huduma za pale cjazipenda kabisa hasa ufundishaji
 
Huwezi kuhama ni bonge la mchakato kuhama chuo kikuu cha kufanya jaribu kuzikabili hizo changamoto ili usiharibu masomo ila kama unataka kuhama chuo kikuu kwenda chuo(madrasa) inawezekana
 
Duuu eti nini chuo gani vile.. Mi simo
 
Kwa hiyo unataka uhame Kampala University uhamie UDSM? Hiki kitakuwa kituko cha mwaka. Cut off points hazikuruhusu mkuu. Wewe endelea tu kucheza mechi za mchangani. Kuhusu hela za kujikimu, ungekuwa na uwezo ukapata mtu akupe boda boda ukawa unaendesha mda wa ziada baada ya masomo ungeweza kusoma kibishi... Sio lazima wote tupate mkopo...
 
Back
Top Bottom