Mtaalam wa laptop za Dell unisaidie hapa natamani niitupe i laptop

Si unielekeze we unajua kila kitu ?
sijui kila kitu but atleast maneno yaliyotumika kukuelekeza hapo ni maneno common sana obvious yanatumika kila uchao kwenye mazingira yetu,sasa nakushangaa hauelewi lolote mkuu,au upo malawi nini,unanipa mashaka juu ya uraia wako
 
Sio mzoefu Sana wa mitandao mkuu afu istoshe tunatofautiana mkuu
 
Dah! hata lap top yangu aina ya dell ilipatwa na hilo tatizo mara tatu mfululizo kuanzia asubuhi, mchana na jioni. Ilipofika asubuhi nikaenda kwa mtaalam akanipa dawa na kinga. Ilikuwa na majivu ya unga wa ngano uliochomwa na uji wa pilipili kichaa, nilivichanganya vyote kisha kunyunyizia kwenye keyboard. Sikufichi tangu siku hiyo ilikaa sawa na kizuri ninachofurahia imekuwa kama mtu kompyuta yake inamsumbua akiigusisha tu kwenye hii dell yangu basi kompyuta yake inatengemaa. Kwa ushauri zaidi fika Kigoma, kijiji cha mwandiga ulizia mtaalamu mwenye mbwembwe za chui aina ngedere mwenye kifua cha nyoka mla nazi ya korosho lenye ganda ya karabai aina ya kibatari na taa ya kandili utanipata mkuu.
 
Nenda kwa wataalamu ...
Wewe jamaa ni Fundi kweli?unatumia maneno ambayo sio ya kitaalamu shusha window ndio nini? Una uhakika gani km PC yake HDD imewekwa imegawanywa? Utafanya MTU apoteze data zake kizembe unajua alikua ana hifadhi data zake wapi?
 
Dah! hata lap top yangu aina ya dell ilipatwa na hilo tatizo mara tatu mfululizo kuanzia asubuhi, mchana na jioni. Ilipofika asubuhi nikaenda kwa mtaalam akanipa dawa na kinga. Ilikuwa na majivu ya unga wa ngano uliochomwa na uji wa pilipili kichaa, nilivichanganya vyote kisha kunyunyizia kwenye keyboard. Sikufichi tangu siku hiyo ilikaa sawa na kizuri ninachofurahia imekuwa kama mtu kompyuta yake inamsumbua akiigusisha tu kwenye hii dell yangu basi kompyuta yake inatengemaa. Kwa ushauri zaidi fika Kigoma, kijiji cha mwandiga ulizia mtaalamu mwenye mbwembwe za chui aina ngedere mwenye kifua cha nyoka mla nazi ya korosho lenye ganda ya karabai aina ya kibatari na taa ya kandili utanipata mkuu.
we jamaa sio fresh lakin.. daaah ila mungu anakuona..!
 
Tatizo la gafla nikitaka kuwasha i pc inatoa tu mwanga Iconi ya switch on ila kuwaka pc yote haiwaki Tatizo ni nini? Betri nimeichaj imejaa lakini ishu kuwasha ndo haitaki naomba msaada nifanyaje ili niweze kuwasha? Asanteni
Toa buttery chomoa charger halafu bonyeza power at least for 20 sec then chomeka charger halafu washa.
 
Back
Top Bottom