Natafuta laptop ya Tsh laki mbili.

Isiwe na shida yeyote Ram 2GB, Iwe inakaa na charge minimum_ 2hrs. And ikiwa ni mini laptop inch 10 kushuka chini itakua poa.
Location.: DSM
Offer laki mbili.
njoo nikuuzie yakwangu itakufaa kabisa. ni HP mini. inatatizo tu la housing, ukienda kariakoo housing utapata. mimi nataka laki na hamsini. 150000tu. haipungui. 0657469664 nicheki kwapicha whatsApp
 
Isiwe na shida yeyote Ram 2GB, Iwe inakaa na charge minimum_ 2hrs. And ikiwa ni mini laptop inch 10 kushuka chini itakua poa.
Location.: DSM
Offer laki mbili.
Ipo Dell Altitude 0657 496 629
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom