Laptop HP Elitebook 8440P model inauzwa

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,118
4,765
Ipo katika hali nzuri sana. Na ina sifa zifuatazo

Processor : Core i5
RAM : 6GB
HDD : 500 GB
SCREEN : 14 Inches
OS : Windows 10 Pro, 64 Bits, Activated and all drivers installed
PRICE : Tsh 470,000/= Negotiable.
BATTERY : 3 Hours kwa matumizi ya kawaida. (Bado ipo katika 100% capacity)
CHARGER : Yes inakuja na charger yake
CONTACT : Ukiihitaji, nitumie PM Nitakupa namba ya simu.

Picha.

PC 8440.PNG
8440.PNG
WP_20170117_13_23_20_Pro.jpg

WP_20170117_13_26_14_Pro.jpg

WP_20170117_13_28_36_Pro.jpg
WP_20170117_13_29_22_Pro.jpg

WP_20170117_13_29_45_Pro.jpg

WP_20170117_13_31_05_Pro.jpg

WP_20170117_13_31_30_Pro.jpg

Capture.PNG

Karibuni.
 
Upo wapi mkuu mimi nahitaji nipo kigoma

Nipo Dar Es Salaam. Kama una mtu unayemuamini yupo Dar Es Salaam unaweza kumtuma kuja kuicheki na kuhakiki mkiridhika tufanye naye biashara kwa niaba yako. Ama waweza pendekeza namna bora ya jinsi tunavyoweza fanya hii biashara.

Nimekutumia namba yangu Private message. Nicheki kupitia hiyo namba.
 
Ipo katika hali nzuri sana. Na ina sifa zifuatazo

Processor : Core i5
RAM : 6GB
HDD : 500 GB
SCREEN : 14 Inches
OS : Windows 10 Pro, 64 Bits, Activated and all drivers installed
PRICE : Tsh 470,000/= Negotiable.
BATTERY : 3 Hours kwa matumizi ya kawaida. (Bado ipo katika 100% capacity)
CHARGER : Yes inakuja na charger yake
CONTACT : Ukiihitaji, nitumie PM Nitakupa namba ya simu.

Picha.

View attachment 460924 View attachment 460925 View attachment 460926
View attachment 460927

View attachment 460928 View attachment 460929
View attachment 460930
View attachment 460931
View attachment 460932
View attachment 460933

Karibuni.
iko powa sana Mkuu kimuonekano. lakini, naomba niulize je ram hiyo ndio iliyotoka Nayo dukani au umeongezea na ina graphic card ya aina ipi kati ya nvidia na amd. na rpm yake in ngapi?
natanguliza shukrani .
 
Samahan mkuu naomba kuuliza tofaut kat ya graphic card aina ya nvidia na amd
 
Ilikuja na RAM 4GB, Hiyo Nyingine nimeongezea kwa maana katika datasheet yake HP wameandika kuwa inasupport up to 8GB. Graphics card ni NVIDIA, Processor ni Intel Core i5 2.6 GHz. RPM ya nini tena.? sijakupata ila kama unamaanisha ya HDD, HDD ina RPM ya 7200 RPM. Hope nimetibu kiu yako.
 
ya HDD.
 
Samahan mkuu naomba kuuliza tofaut kat ya graphic card aina ya nvidia na amd
tofauti IPO kwenye matumizi ingawa zote in video card. nvidia zinapendwa sana kuliko za amd.
GPUs INA three primary manufactures Intel, Nvidia na Amd. unapokuja kwa suala LA gaming za Intel hazina nguvu tunabaki na amd na nvidia. kama invojulikana zile visual data unazoziona kwa monitor yako GPU (graphic processing unit) ndo IPO responsible
 
Bila kusahau kwamba amd zinaungua haraka sana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom