Wewe ni mwendawazimu
Ukikosa HAKI huwezi pata AMANI.
Hata huo mfano wako wa Angola umethibitisha hilo, kuna kundi lilinyimwa HAKI wakapigana ili kuipata HAKI, na mwisho wasiku wakaipata HAKI wakawa na AMANI.
Bahati mbaya sana ni kwamba, anayedhurumu HAKI hawezi kubadilika bila kulazimishwa...
Ipangwe kwenye kipi?
Yard za makontena kila kona, kila mtaa, kila barabara kila siku zinafunguliwa mpya,
Dar maeneo ya wazi yote wamejimilikisha
ikifika saa 7 mchana mandela road haipitiki, foleni ya maroli toka tazara hadi ubungo.
Bara bara za mijini zimejaa mashimo,
Mwendo Kasi inafanys kazi...
Usafiri wa mabasi ni usafiri wa watu wa kawaida kiuchumi.
Naishi chanika
Kwetu Arusha
Hapa kuna Bus zinatoka chanika kuelekea Arusha..
Yard za hizo company zipo huku, kwahiyo zitoke zisipakie abiria anaetoka huku ziende empty hadi mbezi.
Na abiria atoke chanika na daladala hadi mbezi hiyo imekaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.