Recent content by Mamba A

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ujinga wakulazimishwa kuvaa sare za ccm kwa walimu mashuleni

    Walimu wanaonewa sana nchi hii, na kwa kuwa hawana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kutegemea kukinga mwisho wa mwezi hata kugoma hawawezi, alafu wanageukana, Ngoja wavae tu mavazi ya ccm! Watasubiri sana, Shame on you walimu wote mnaovalishwa maucmm! Mnatuaibidha!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta leo stanbic bank kariakoo sokoni

    Kaka pole ,Wafanyakazi wa bank waliowengi wanafanya kazi ya uaminifu zaidi ya hata wachungaji, kwa mfano kuna bank km Crdb, kweli kuna jamaa waaminifu sana, sijajua hayo mabank mengine, Pesa feki kwa ss zimezagaa sn na cyo kosa la mabank, maana na wao wanazipokea km ulivopokea ww. Na huyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nimempoteza baba mzazi leo mchana Muhimbili Hosp

    Pole sana mkuu, Mungu awatie nguvu familia yote kwa ujumla!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Auction MArts wapigwa STOP kufunga na kukamata magari

    Hili ni vema wakalisomamia siyo wametamka tu then hakuna utekelezaji. Kuna siku moja nilikuwa mitaa ya soko kuu Arusha, kuna bwana mmoja alipaki gari akawa amegusa mstari kidogo, jamaa wakaja wakalifunga minyororo. Yule bwn anarudi anakuta gari yake imepigwa mnyororo, basi aligungua mlango wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madam SPIKA: Ningekuwa na uwezo ningependekeza Mwingine afe badala ya Mh. Mgimwa

    Wana jamvi hakumaanisha mnachokielezea, mi nafikiri alikuwa na maana kuwa marehemu alikuwa muhimu sn kwa taifa hili, yaani kwa mtazamo wako alipendelea asife ingawa hana uwezo huo!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

    Hatuna kazi nao, Wafe tu ! Ma askari wenyewe wamejaa rushwa tupu , Yaani utafikiri hayana mshahara , Kuna trafiki mmoja Arusha anaitwa Riziki anapenda sana rushwa kuliko kazi, RTO tunakuomba umchunguze!
  7. M

    JamiiForums Tanzania New salary scale bank officer

    Mabenki haya wizi mtupu, Crdb benki ya wachaga inategemea una jina gani? Kama ni Mushi, Massawe au jina lolote la kaskazini utapewa mshahara mkubwa sana, lkn jina lako likiwa la ajabu ajabu toka mikoa km mbeya, morogoro nk unaweza kupewa hata laki 3, Alafu kupandishwa cheo ndoto labda ubadili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni sikukuu ya kugegedana?

    Kristo yesu amezaliwa!!!!!Amezaliwa kweli kweli, Na wale wote watakao mpokea wataitwa watoto! Hii ni siku ya amani, Upendo na kutenda yaliyo mema! Mungu atubariki sana.Amen!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume walio kwenye ndoa kupunguza magonjwa ya moyo

    Sawa mkuu.
Back
Top Bottom