Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

Bora wangekuwa wanajifanya hivyo kuliko kuuwa raia wasiyo na hatia,maana nina imani 90% ya watanzania hawawapendi hawa policcm. Wanatumika vibaya. We hate you policcm.
 
Analalamikia serkal yake ya chama coz maybe mshahara hajapata tangia atoke kwenye oparation kimbunga.
 
wakuu tuwe na utu. yule alikuwa binadam kama cc ana hisia. rip soldier
 
Hatuna kazi nao, Wafe tu ! Ma askari wenyewe wamejaa rushwa tupu , Yaani utafikiri hayana mshahara , Kuna trafiki mmoja Arusha anaitwa Riziki anapenda sana rushwa kuliko kazi, RTO tunakuomba umchunguze!
 
Nimeamini kweli watu mliowengiwenu bado atukubali kuelimika na kuelimishwa, bunduki kama bunduki jinsi ilivyo ni kifaa ambacho muda wowote kisipo bebwa kwa kuheshimiwa matokeo yake yanaweza kuwa mabaya aidha kwa kujeruhiwa ama kumuua kabisa mtu aliyekibeba ama kusababisha madhara kwa watu wengine lakini pia inawezekana kwa huyo askari ambaye ndiye Mlinzi wetu katika suala zima la ulinzi na usalama wa raia na mali zao hakuwa na lengo la kutaka kujipiga risasi ama nia ya kujiua yawezekana risasi lifyatuka kwa bahati mbaya kama nilivyoeleza hapo juu japo kwamba sina elimu na ufahamu mkubwa wa masuala ya bunduki lakini nachodhani ni kwamba kupoteza umakini katika ubebaji wa silaha yeyote hile lazima matokeo yake atakuwa ni hasi.
 
yuko hospitali bado mzima? ,lengo lake halijakamilika? pole sana afande fanya fujo uone !!!!!!!!!!!
 
Watanzania tulio wengi hatulipendi kabisa jeshi la polisi kwa kuwa ni jeshi la wenye pesa,linatumika sana kunyanyasa maskini na kuwalinda matajiri,mtu asiye na hatia anakamatwa na kubambikiwa kesi nzito,na kwa sababu ya umaskini wake anafungwa miaka mingi sana jela,sisi maskini ni wahanga wa jeshi hili,ndo maana hakuna mtu anayeumia roho kusikia polisi kajiua,wanatamani wajiue polisi wote ili watu wapumzike na kadhia ya jeshi hili,sheria ya kijinga na inayotumika na taifa la wajinga eti "uzembe na uzururaji"ndo wanaitumia sana police kunyanyasa maskini,mtu anakudai badala aende mahakamani eti anakushtaki police,kwa kuwa police ndo wavunja sheria wanakuweka ndani bila kukufikisha mahakamani hadi utoe kitu kidogo,na kama huna wanakubambikiza kesi nzito,Tanzania haiwezi kuendelea hadi mwisho wa dunia kama ccm itaendelea kutawala,Biblia inasema HAKI HUINUA TAIFA,je hapa kwetu kuna haki? kuna laana ya dhuluma na uonevu wa hali ya juu,ipo siku MUNGU ATAFUTA MACHOZI YETU.
 
Upo sahihui kabisa.
mimi ni mmoja wa wanochukia hawa askari polisi. siwapendi.
Hasa yule chongo ndo namchukia mno.
Kuna ndg yangu mtoto wa baba mkubwa alikuwa anajisifu jinsi alivyotembeza
kipigo zenji na kumbaka msichana ambaye anasema alimkuta akiwa bikra
amefariki mwaka juzi kwa ajali ya pikipiki,nilifurahi sana siku ya msiba wake
na hata nikipita karibu na kaburi lake huwa najisikia furaha, Nawachukia
mno askari.
 
Huyo lazima atakua mfuasi wa Zitto Kabwe. Alimuahidi endapo atakuwa Mwenyekiti CDM angempa ukatibu mkuu. Sasa dili limeyeyuka kaamua kujilipua.
 
Back
Top Bottom