New salary scale bank officer

New salary scale bank officer

Kcb kwa bank teller ni 750, 000 gross na crdb ni around laki 8 hivi gross salary kwa hiyo net itakua around lak 6! Nbc wanaanza na lak 7 na ushee!

nbc gani unaizungumzia mkuu?
 
Hiyo unayoijua mkuu ! Nipo ya dar bt cdhani hata kwenye branch uliyopo kuna utofauti sana!
 
Duuh kumbe mie mwenye kachet kangu ka. Grade a ya ualimu naosha nakula 700000 per month English medium napiga somo la sayansi tu
 
Mabenki haya wizi mtupu, Crdb benki ya wachaga inategemea una jina gani? Kama ni Mushi, Massawe au jina lolote la kaskazini utapewa mshahara mkubwa sana, lkn jina lako likiwa la ajabu ajabu toka mikoa km mbeya, morogoro nk unaweza kupewa hata laki 3, Alafu kupandishwa cheo ndoto labda ubadili ubini wako.
 
Back
Top Bottom